Ernst kipire
JF-Expert Member
- Dec 16, 2019
- 286
- 292
ukweli wakurya cyo watu wa mchezo, kun jamaa nilisoma nae advance alikua mkurya oya aliwah anzisha ugonvi yy peke yake na wanadarasa wote, Yan balaaa San nikikumbuka,kumbe mwana alikua na kisu kwenye tranka lake bwenn oya ilikua balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app