Nani hasa anaimiliki na kuitawala dunia tunayoishi?


Kaka unaweza kutumia hiyo "Higher level dimension of quantum realm" kutambua maumivu ya roho inapotoka ?
 

Hili unalotaka kuaminisha watu ni suala la uongo na kuikosea adabu elimu.

Kwa kutokulijua hili na kuwa achia hao waitwao watafiti wa kisayansi wakupatie majibu ni kujichelewesha kuliko tukuka,sayansi ina madhaifu mengi,miongoni mwa tatizo la sayansi ni kufikia hitimisho kwa majaribio na kubahatisha huku wakirudia rudia na tatizo lingine ni kuweka hitimisho na ujumla wa mambo.

Sasa unajaribu au kusema au kutafuta majibu ya maswali ambayo yalishajibiwa miaka na mikaka iliyopita ni ujinga wa kupigiwa mfano.


Mfano leo hii nani asie jua ya kuwa maji yakichemshwa yana chemka na kadiri jinsi moto unavyokuwa mkali yanazidi kuchemka nyie mka amua kutoa majina mara boiling point na mfano wake.

Narudi kuendelea hapa nilipoishia .....
 
Mkuu ukitulia anzisha uzi basi hii ishu ili tufunguke vizuri au kama upo uzi wa dizain hii nitumie link nisome.
 
Uliyeelewa haya yote unatusaidiaje member wa jf?
 
Mkuu tunafanyaje kuingia katika higher dimension?
Tusubiri kuna watu wanalifanyia kazi hili swala...kupitia CERN project watawaweza kutoa ufafanuzi zaidi japo kinachotolewa kinakuwà kina 1/3 ya ukweli ,sasa hapo sijui ukweli utawekwa wazi lini....hata mimi naumiza akili sana kutaka kujua kwanini hawatushirikishi[emoji4] [emoji4]
 
Tatizo lifecoded akiachia nondo kuna maswali akiulizwa hayajibu [emoji57][emoji57]
Hapo ndipo anaponikeraga
Mkuu samahani sana...wakati mwingine nakuwa bize sana na mambo mengine...

Sijapata muda mzuri wa kutulia na kubadilishana mawazo hasa kuweka inputs za kutosha kutokana na mada za humu Intelligence..

Thats why huwa nachangia kwa kubeep but nikipata muda zaidi nitatia kambi ya kudumu...

Tuvumiliane najua wakati mwingine mtu unavutiwa na dialogue ya conversations maalumu humu ndani ila gafla mtu anatoweka...
 
Mkuu hii CERN project itatuacha salama kweli? maana niliwahi isoma humu ni km kitu cha kutisha hivi
 
Tatizo lifecoded akiachia nondo kuna maswali akiulizwa hayajibu [emoji57][emoji57]
Hapo ndipo anaponikeraga

Tatizo huwa wana kariri msamiati bila kuelewa nini kinachokusudiwa. Matokeo yake huwa ni kama unavyo ona. Elimu si kunukuu msamiati bila kuelewa nini kimekusudia,mfano ni ule mfano wa punda kubebeshwa mzigo wa vitabu bila kunufaika na vitabu hivyo.
 
Uliyeelewa haya yote unatusaidiaje member wa jf?

Hapo hana uwezo wa kukusaidia sababu hao alio nukuu kwao kwanza wameshindwa kujua wanajishughulisha na jambo ambalo kiasili hawawezi kulidiriki bila msaada wa kiimani.

Hawa hawajui hata mitume walikuja kwa sababu gani hapa duniani,binadamu kutokujua mipaka yako hasa kielimu ni tatizo kubwa na unaweza kuwa hata dhalili mbele ya ng'ombe ambaye anajua lengo lake la kuumbwa.

Binadamu usipojua mipaka ya macho yako ni ujinga wa kimatabaka.
 
Uliyeelewa haya yote unatusaidiaje member wa jf?
Mimi nadhani ili mtu aweze kuelewa mambo yalivyo asihoji kwa kulazimisha kuwa physical appearance ya kitu isiye chanzo cha kuprocess yasiyoonekana...ila aaminini kuwa kisicho onekana ndo chanzo cha kinachoonekana...

Quantum realm possibility ndo yenye kutupa uhakika wa kipi kinaprocess kila kitu kwenye ulimwengu huu na naamini kuna highly interconnected energy network ambayo ipo katika dimension kubwa sana ambayo imeunda dimensions ndogo ndogo ili kuendelea kuona kila kitu kinaenda vizuri kwa mpango ambao umejiwekea wenyewe....
 

Sasa kiongozi kama unajua jambo bado halijatimia kwanini unalijengea hoja ?

Au nyie huwa hamfundishwi adabu za usomaji na ujengaja wa hoja ?
 
Dunia ni yako
Wewe ndio unaitawala.Uwezo wako wa kutawala ndo unaamua utawale kiasi gani.Ila umepewa utawale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…