Nani hasa anaimiliki na kuitawala dunia tunayoishi?

Nani hasa anaimiliki na kuitawala dunia tunayoishi?

Mimi nadhani ili mtu aweze kuelewa mambo yalivyo asihoji kwa kulazimisha kuwa physical appearance ya kitu isiye chanzo cha kuprocess yasiyoonekana...ila aaminini kuwa kisicho onekana ndo chanzo cha kinachoonekana...

Quantum realm possibility ndo yenye kutupa uhakika wa kipi kinaprocess kila kitu kwenye ulimwengu huu na naamini kuna highly interconnected energy network ambayo ipo katika dimension kubwa sana ambayo imeunda dimensions ndogo ndogo ili kuendelea kuona kila kitu kinaenda vizuri kwa mpango ambao umejiwekea wenyewe....

Hili ni tatizo lingine la kutumia akili.

Kuna mwanazuoni mmoja aliishi zama za utawala wa wamongoli karne ya 13.

Mwanazuoni huyu alipata kusema haya "Kama pasingekuwepo mitume na manabii basi wanafalsafa wangeshika hatamu katika ubora sababu walikuwa wanauliza maswali mazuri na ya kufikiria sana,lakini waliangukia pua sababu walikosa nyenzo madhubuti za kuwapatia majibu sahihi yenye faida kwao na kwa wenzao"

Hivi ushawahi kujiuliza kwanini unaweza kuzungumzia kifo cha mwenzako baada ya kufa na wewe ukashindwa kujua au kutoweza kuzunguzungumzia kifo chako kitakuwaje ?
 
Humu nilicho kiona ni watu wanarudi nyuma badala ya kwenda mbele.

Humu inatakiwa tuanze kuelezana nini maana ya ELIMU,ili kila atakae kua anazungumzia jambo la kielimu atulize kichwa na ajue anazungumzia nini,kuliko haya tunayoyaona watu wana kariri mambo ambayo ukiwahoji wana shindwa kusimamisha hoja.
 
Mkuu hii CERN project itatuacha salama kweli? maana niliwahi isoma humu ni km kitu cha kutisha hivi
mkuu,hivi unafikiri kwanini game reserves au national parks huwa wanachoma moto kwa maksudi ikifikia kipindi cha kiangazi??

Ni dhahili viumbe kama nyoka,panya na kumbikumbi huwa vinapata taabu snaa lakini baada ya kuchoma moto ule nyasi huchipua kwa kasi ili wanayama wapate chakula na waendelee kusavaivu...

ukiweza kuelewa mfano huo basi usiulize kuwa CERN project itawanufaisha kina nani...!!

Kwanza unatakiww ujue kuwa kupitia CERN project kutakuwa na zoezi la kupima mageto frequence dunia nzima ili waweze kujua ni nguvu kiasi gani imeshikilia space time structure...

Hakuna kitu kinachoitwa gravity ulimwengu huu...hiyo gravity ya akina Newton ya 9.8 sijui 10 N/m2 haikubaliki kwa mujibu wa walivyokuja kugundua....

Gravity is just a product of space time bending( distortion)..

Sasa kama unataka kukwepa hata yajato basi uwe kwenye jopo la wao watafiti make wao watakuwa sambamba na results and experimants...

Sijajua how it will affects but mimi navyojua ni kwamba lengo kubwa ni kugundua particles ambazo zime ndani ya vacuum ambayo inahold antimatter ambapo kazi yake itakuwa kudetect hiyo dark energy kisha kujua how it started na tukishajua jinsi inavyofanya kazi basi tunaweza manipulatr other quantum possibilities za uwepo wa matter au quatum realm zingine zinaweza kusolve paradoxy ya uwepo wa hiyo nguvu inayoprocess kila kitu huku ikiwa haionekani machoni kwa biandamu...

Just short like that...
 
Kuna baadhi ya maswali huwa nakosa majibu yake. Naomba waelewa waweke mambo wazi; hii dunia tunaishi inatawaliwa na nani?

Je ni Mungu, Taifa fulani au ni MTU mwenyewe?
Unahisi wenye hisa wako humu mkuu labda?
 
Hili ni tatizo lingine la kutumia akili.

Kuna mwanazuoni mmoja aliishi zama za utawala wa wamongoli karne ya 13.

Mwanazuoni huyu alipata kusema haya "Kama pasingekuwepo mitume na manabii basi wanafalsafa wangeshika hatamu katika ubora sababu walikuwa wanauliza maswali mazuri na ya kufikiria sana,lakini waliangukia pua sababu walikosa nyenzo madhubuti za kuwapatia majibu sahihi yenye faida kwao na kwa wenzao"

Hivi ushawahi kujiuliza kwanini unaweza kuzungumzia kifo cha mwenzako baada ya kufa na wewe ukashindwa kujua au kutoweza kuzunguzungumzia kifo chako kitakuwaje ?
Mkuu naomba kwanza ufahamu kwamba hakuna linaloprocessiwa likakosa kuwa na mwelekeo .....

,hakuna kilichoshindikana kuna mahala ukishafikia hasa katika mambo ya research kuna nguvu ambayo ni directory huwa ipo tu, ili mradi upite katika frequency inayotaka ...

Wew upo katika lowest dimension ndogo sana ndo mana unawahi kukemea kuwa haiwezekani..kadri unavyodhidi kupanda katika highest level ya knowledge kuna frequencies ambazo zinakuongoza...

Kumbuka kuwa The universe is more flux kiasi kwamba haina upendeleo na mtu kazi yako ni kujump kutoka lower life dimension interpretation na kuingia kwenye higher dimension interpretation kila kitu kinafunguka chenyewe kupitia hizo frequence pattern of reality...

mfano..chukulia mwanafunzi ambaye anajisomea prepo usiku darasan ambapo kuna mwanga halafu hostel zake zipo umbali wa mita 200 kutoka darasa lilipo na akitoka hapo anatakiwa aelekeee bwenini kulala na njiani hamna umeme ni giza nene...naamini mwanzoni kabla hajalivaa giza atapata uoga mwingi sana ila akishalivaaa giza tu huko mbeleni huzoea na anaweza kuona hata nyoka ili mradi aweze kafikia maximum point ya dark adaptation( consider ambout mambo ya scotopsin na rhodopsin hapa kama umesoma biology)..

Ndivyo ilivyongumu kuelewa kama hawa jamaaa wataujua ukweli siku moja make wapo tayari kwenye another level of realm wanaweza kumanipulate any reality into multiple perceptions bila kutoka kwenye mstari...

Wenyeji wa mambo wanasema kuwa ukishaingia kwenye higher dimension realm kila kitu kinakuongoza wewe,kazi yako ni kucheza na right pathway ya directory frequency...
 
Kuna baadhi ya maswali huwa nakosa majibu yake. Naomba waelewa waweke mambo wazi; hii dunia tunaishi inatawaliwa na nani?

Je ni Mungu, Taifa fulani au ni MTU mwenyewe?
Ukijua kwa hakika ninini kinafanya hivi vitu vifanye kazi utapata jibu
Mashine ifanye kazi
Gari itembee
Computer ikupe utakacho
Uweze kupost JF
 
Mimi nadhani ili mtu aweze kuelewa mambo yalivyo asihoji kwa kulazimisha kuwa physical appearance ya kitu isiye chanzo cha kuprocess yasiyoonekana...ila aaminini kuwa kisicho onekana ndo chanzo cha kinachoonekana...

Quantum realm possibility ndo yenye kutupa uhakika wa kipi kinaprocess kila kitu kwenye ulimwengu huu na naamini kuna highly interconnected energy network ambayo ipo katika dimension kubwa sana ambayo imeunda dimensions ndogo ndogo ili kuendelea kuona kila kitu kinaenda vizuri kwa mpango ambao umejiwekea wenyewe....
OK, naomba kujua katika hili kuna Mungu?
 
Mkuu naomba kwanza ufahamu kwamba hakuna linaloprocessiwa likakosa kuwa na mwelekeo .....

,hakuna kilichoshindikana kuna mahala ukishafikia hasa katika mambo ya research kuna nguvu ambayo ni directory huwa ipo tu, ili mradi upite katika frequency inayotaka ...

Wew upo katika lowest dimension ndogo sana ndo mana unawahi kukemea kuwa haiwezekani..kadri unavyodhidi kupanda katika highest level ya knowledge kuna frequencies ambazo zinakuongoza...

Kumbuka kuwa The universe is more flux kiasi kwamba haina upendeleo na mtu kazi yako ni kujump kutoka lower life dimension interpretation na kuingia kwenye higher dimension interpretation kila kitu kinafunguka chenyewe kupitia hizo frequence pattern of reality...

mfano..chukulia mwanafunzi ambaye anajisomea prepo usiku darasan ambapo kuna mwanga halafu hostel zake zipo umbali wa mita 200 kutoka darasa lilipo na akitoka hapo anatakiwa aelekeee bwenini kulala na njiani hamna umeme ni giza nene...naamini mwanzoni kabla hajalivaa giza atapata uoga mwingi sana ila akishalivaaa giza tu huko mbeleni huzoea na anaweza kuona hata nyoka ili mradi aweze kafikia maximum point ya dark adaptation( consider ambout mambo ya scotopsin na rhodopsin hapa kama umesoma biology)..

Ndivyo ilivyongumu kuelewa kama hawa jamaaa wataujua ukweli siku moja make wapo tayari kwenye another level of realm wanaweza kumanipulate any reality into multiple perceptions bila kutoka kwenye mstari...

Wenyeji wa mambo wanasema kuwa ukishaingia kwenye higher dimension realm kila kitu kinakuongoza wewe,kazi yako ni kucheza na right pathway ya directory frequency...

Kaka nikisema haya ujue nina maanisha nilikuuliza swali,je unaweza kuniambia maumivu anayosikia mtu pindi roho inapotoka ? Swali hili hukulijibu na hutaweza kulijibu hata wakae wakubwa zako miaka na mikaka watafute jibu hawatoweza kitakacho fata hapo ni habari za kufikirika kama unazo zileta wewe.

Hivi kweli kwa ulimwengu huu ambao kila kitu kipo katika mpangilio uliotukuka kusiwe na majibu ya maswali yenu ? Hapa mlitakiwa mjistukie hata kwa ishara tu.

Huko mnakopita siko ndio maana mnaongea mambo ambayo hamjui wapi mnaelekea.

Mambo yasiyowezekana yako mengi sana,na msipotoshe watu kwa ujinga wenu.

Hivi kuna kiumbe chochote kinaweza kuzuia kifo ? Kuna kiumbe anae jua atafia wapi ? Au kuna kiumbe anae weza kuona kilicho nyuma yake ? Au na haya bado yanahitaji utafiti na wapo kwenye utafiti ? Sasa mmepewa akili mzitumie vizuri sio mnazitumia katika kupoteza muda. Kaka muda ni mali asikwambie mtu.
 
You can not understand the universe specifically the way way how it works in lowest dimension form....

Kila siku nasema kuwa mwanadamu upo katika lowest level ya frequency dimension...

lower life forms can not understand the total realm mpaka uingie katika highest life form dimension (quantum) na kutokana na habitat yetu kuwa katika lower dimension ndo mana tunashindwa kusynchronize na higher dimension of reality..

At higher dimension za quantum realm( scale) kila kitu kimewekwa wazi, and it's fraction of second to understand how particles of nature interact under supersonic speed of reality with no illusion..

Hivi unalazimishaje uelewe mfumo ulivyo wakati upo ndani ya dimension ndogo wakati mfumo unaokutawala upo katika dimension scale kubwa...?? Insane....

Yani nasema tena na kurudia tena elimu zetu za biblia ni ndogo sana kuelezea how everything is processed kwa sababu watu wake wapo katika low level ya quatum scale( Realm ) na huwezi ukaelewa katika quantum scale ndogo mfumo ulio katika high quantum scale...ndo mana hata waliotutangulia maarifa wapo katika kufaiti wajue kuinterprete things under higher dimension in quantum realm state make huko vitu vipo wazi ,tunawaita wenye ulimwengu kwa sababu wamewahi kuelewa maarifa flani jinsi mfumo katika lower dimension ulivyo na dimension za reality zipo katika scale flani na kufanya mgawanyo wa quantun realm katika level tofauti . ..

The universe has offered a number of quantum realm posibilities za frequency dimensions entity tofauti ili kila kiumbe chenye uelewe wowote kiweze kusavaivu kulingana na uelewa wako ..

The universe is more flux,it offers higher number of quantum posibility ya kila kiumbe kusaivu under different levels za dimensions,the more unaingia katika dimension kubwa ndipo ulimwengu unakuweka kwenye level zingine za uhalisia wa maisha and vice versa

Hapo ulipofikia leo na uliyoyafahamu hukutegemea kama ungefika hapo na hata kama ulitegemea kufika hapo lakini kwa perception tofauti ,meaning that the universe is more flux,it offers more options kwa kila kiumbe kutokana na quantum realm scale uliyoascend na haina upendeleo na mtu,kila kiumbe atasavaivu kutokana na quantum scale alipofikia na utakufa katika quantum awareness ulipokuwa umefikia, hata perception ni tofauti kwa sababu the magneto frequency ya awareness inashift kwa speed kubwa sana ,so we have to interprete the magneto quantum scale frequency inayotushikilia wote ,but in oreder to understand ,we have to reach as higher as possible katika higher dimension entity za quantum realm..

Kuna watu wamefanikiwa kuwa katika dimensions flani za juuu na hao ndo tunawaita wenye ulimwengu huu simply because they can manipulate any reality na kuwa illusion kupitia quantum scale inversions of reality...

Wanatusubject kwenye quantum illusion state ambayo inaprovide magneto frequency kadhaaa ya kukushikilia uendelee kucheza na frequency quantum scale flani katika hiyo hiyo low dimension yako na hutaweza kamwe kufikia au kuascent into higher dimension kiasi cha kumanipulate reality..

You can not identify the owner of the universe katika low quantum realm state au lower dimension wakati inhabitation yake ipo katika higher dimension za quantum level..
you need to ascent to break up the lower forces ambazo zimekusubject kwenye illusion of reality ..

Hakuna mtu katika lower dimension state atakayekuja hapa kujifanya kuelezea jinsi owner wa universe alivyo kwa sababu you can not describe the higher quantum superposion wakati wew upo katika lower life forms...

Ndo mana kuna watu kama kina Werner Karl Heisenberg na Schrödinger wamejaribu kulitolea hili swala kwa ufafanuzi wa kimafumbo kuwa ni ngumu sana kupredict the true value au uwepo wa kitu bila kuwa eneo husika katika dimension flani...unless utakuwa uongo..

Ndo mana jamaaa anasema kuwa kuna kitu kinaitwa the observer effect, which notes that measurements of certain systems cannot be made without affecting the systems, that is, without changing something in a system. Heisenberg utilized such an observer effect at the quantum level as a physical "explanation" of quantum uncertainty kama ilivyo ngumu kujua sehemu( position ya kitu kilipo) pamona na speed yake kwa pamoja...

Hawa watu walikuwa wanatolewa ufafanuzi haya mambo kwa madumbo sana ndo mana hata watu waliosoma physics mpaka leo ukimuliza maana ya maneno yale atakimbilia kukwambia jamaaa walikuwa wanazungumzia electron,probably it is electron katika quatum awareness yako wew but in higher dimension analysis inaongelea mfumo mzima katika quatum scale ya juu snaa..

Watu wa dini na unajimu wataendela kukazia mambo yao hapa na hakuna atakaetoa jibu la maana hapa unless uingie katika quantum scale kubwa ndipo utaweza kujua mfumo mzima wa jinsi ulimwengu unavyooperate ndipo unaweza ukatoa jibu la mwisho kuwa kuna mtu anaiendesha au ni self operating kwa reason inayoijua yenyewe..
Hmmm...and you think,believe or hope that quantum scale is the only answer to the origin and control of the universe?

You write as if you are very sure of what you are saying or want us to believe in what you believe.. limiting us? Kwamba hatuwezi elewa kwasababu hatupo in the higher frequency level???... That's really lazy

We all want to believe in something supreme and sure that can explain everything...

That is just one theory among many that man has proposed to find answers and order... it's not a conclusion.

And being less in a certain matter doesn't necessarily mean being deprived of the important benefits of survival or intelligence...

In this very lower scale of quantum frequency or whatever you quantum theory believers believe,human race has achieved and thrived more than any other life form on earth.

Orrr was this proposed by a being outside our frequency realm?...as I said,this theory being 'scientific derived' doesn't necessarily mean it's correct...

The human race underestimates itself... but its justifiable..not after surviving alone all these years in a vast intimidating universe.

What if we are the only Most intelligent surviving race..has anyone ever thought of that?

I don't think so,we are submissive afterall,looking up for something greater.. the good thing is that's how we've managed to survive all these years.

I still get insight from the bible...the most complicated and difficult things are understood in and inspired by simple things...
 
wewe ukiambiwa utoleee ufafanuzi hata hatima ya ulimwengu huu utakimbilia kuleta vifungu vya biblia ulivyoshikwa masikio bila kuhoji why ilikuwa wakaandika hivyo...??

Tatizo lako hujui kubishana kwa facts hujawahi kukubali sharing za watu ila huwa unapinga tu...

Probably ipo siku utajipinga hata wew mwenyewe make you seemed to be skeptic kwa scientifical facts ila huwezi zitolea ufafanuzi kwa makini...

Leo hii ukiambiwa hata hiyo biblia imekosa mwelekeo sahihi unakosa majibu....sasa wew upo upande gani....unataka upate elimu ipi basi mkuu make nakushangaaa sana..!!

Make nimeona hata kwenye uzi wa jamaaa maeneo flani unamuliza kuwa google haiwezi kumpa majibu mazuri ila akakuuliza afanye nini aweze kupata mambo ya maana ,ukamshauri asome vitabu kisha kakuliza akisoma kitabu ambacjo ni soft copy from google na kilr cha hard copy from library atapata contents tofauti ?? ukakaaa kimya sijaona ulichomjibu...

Yani you have a big problem my friend yani you are to skeptic kwenye real facts ili hali huwezi toa concojooo analysis.....

Watu wanakuzoom tu ila they wonder much at you...

Kwanza mimi kitabu changu ni Qur'an,hapa nakuweka sawa.

Pili,yule wa google sikumjibu sababu niliona yuko mbali sana vitabu,kwa wanao jua umuhimu wa hard copy dhidi ya soft copy wanajua,kwahiyo ile haikuwa mada ya kupoteza muda.
 
haya tupe jibu kama wew unaweza sikia au kuhisi maumivu ya mtu anayekata roho....!!
Naweza kukujibu ila kwa kuwa sio mahala pake unaweza kataaa....

Naomba nikulize kitu...umaweza pima intensity ya maumivu ya mtu akiwa kaumia akiwa mzima..?? ukinijibu hapa nitakuambia maumivu ya mtu anayekufa yanakuwaje...ila twende step by step unajibu swali langu nami nitakujibu....swali kwa swali...

Kaka hili swali huwezi kujibu na sio wewe bali hata hao wakubwa zako hawawezi.

Sasa unataka tena nikupe majibu,kwanza umekubali kwamba kuna mambo hayawezekani ?
 
Hmmm...and you think,believe or hope that quantum scale is the only answer to the origin and control of the universe?

You write as if you are very sure of what you are saying or want us to believe in what you believe.. limiting us? Kwamba hatuwezi elewa kwasababu hatupo in the higher frequency level???... That's really lazy

We all want to believe in something supreme and sure that can explain everything...

That is just one theory among many that man has proposed to find answers and order... it's not a conclusion.

And being less in a certain matter doesn't necessarily mean being deprived of the important benefits of survival or intelligence...

In this very lower scale of quantum frequency or whatever you quantum theory believers believe,human race has achieved and thrived more than any other life form on earth.

Orrr was this proposed by a being outside our frequency realm?...as I said,this theory being 'scientific derived' doesn't necessarily mean it's correct...

The human race underestimates itself... but its justifiable..not after surviving alone all these years in a vast intimidating universe.

What if we are the only Most intelligent surviving race..has anyone ever thought of that?

I don't think so,we are submissive afterall,looking up for something greater.. the good thing is that's how we've managed to survive all these years.

I still get insight from the bible...the most complicated and difficult things are understood in and inspired by simple things...
We are not the only most Intelligent beings ever...kama unakataa leta facts tutashusha facts ..

And what is the supreme being are you after...??

Where did ya get solution explaining the precence of the supreme being as an Individual like you?? does the supreme entity look like home sapiens as you...??

If not.....
How about if we speak about the supreme entity being as higher as the highly interconnected energy grid encoded within the dark energy that processes everything and can be explained by quantum reality at high dimension realm ,can't col it as supreme ??
 
haya tupe jibu kama wew unaweza sikia au kuhisi maumivu ya mtu anayekata roho....!!
Naweza kukujibu ila kwa kuwa sio mahala pake unaweza kataaa....

Naomba nikulize kitu...umaweza pima intensity ya maumivu ya mtu akiwa kaumia akiwa mzima..?? ukinijibu hapa nitakuambia maumivu ya mtu anayekufa yanakuwaje...ila twende step by step unajibu swali langu nami nitakujibu....swali kwa swali...

Sasa tuanzie hapa kaka. Sababu mimi ndio wa mwanzo kukuuliza wewe swali la kuhusu maumivu anay yasikia mtu pindi anapokata roho na hukunijibu swali hili,sasa sababu unataka twende hatua kwa hatua anza kujibu swali hilo,kisha nijibu lako kwa utulivu kabisa.

Tuanze....
 
Tatizo huwa wana kariri msamiati bila kuelewa nini kinachokusudiwa. Matokeo yake huwa ni kama unavyo ona. Elimu si kunukuu msamiati bila kuelewa nini kimekusudia,mfano ni ule mfano wa punda kubebeshwa mzigo wa vitabu bila kunufaika na vitabu hivyo.
mkuu...mimi nipo hapa leo kwa ajili yako ila nataka uwe muwazi kwa unachokielewa .....

is it possible to measure the pain intensity ya mtu akiumia ? nijibu hapa kama inawezekana au ni ngumu theni nitakujibu unachokitaka wew...make nimegundua weakness yako iko wapi
 
Sasa tuanzie hapa kaka. Sababu mimi ndio wa mwanzo kukuuliza wewe swali la kuhusu maumivu anay yasikia mtu pindi anapokata roho na hukunijibu swali hili,sasa sababu unataka twende hatua kwa hatua anza kujibu swali hilo,kisha nijibu lako kwa utulivu kabisa.

Tuanze....
Inawezekana ....nimekujibu...na wew jibu kama inawezekana kupima pain intensity ya mtu ambaye yuko hai...!! inawezekana au haiwezekani...??
 
Inawezekana ....nimekujibu...

Hili ndio jibu au ? Au nisubiri jibu ?

Kama hili ni jibu basi ujue hujaelewa swali langu,sijauliza kama inawezekana au kutowezekana,nimekuuliza uniambie maumivu anayoyasikia mtu pindi anapokata roho.
 
Hili ndio jibu au ? Au nisubiri jibu ?

Kama hili ni jibu basi ujue hujaelewa swali langu,sijauliza kama inawezekana au kutowezekana,nimekuuliza uniambie maumivu anayoyasikia mtu pindi anapokata roho.
twende step by step....kabla sijakujibu naomba unijibu ili nikueleze vizuri kwa kufuata point ya swali lako....naomba unambie kama inawezekana kupima intensity ya maumivu ya mtu kama akiumia huku akiwa hai...!!

kaka mbona unazunguka sana...unahitaji kujua maumivu basi jibu kwanza kama inawezekana kujua maumuvu ya mtu akiwa hai kwanza...nitakujibu ukijibu hili swali
 
Mtu kama wewe unataka kujadili mambo ya kielimu kama haya.

"Rekebisha kiti chako kwanza kabla hujakitia nakshi"
was wasi wako tu....Just your belief interpretation....
 
Back
Top Bottom