Nani hasa anaimiliki na kuitawala dunia tunayoishi?

msabato utamjua tu.
Utwatambua kwa matendo na imani wala si kwa kukariri na kurithirithi usivyovijua na kuvitathmini kuwa viko katika usahihi wa mapenzi yake Mungu.

Nami nasema kuwa Mu-RC utamjua tu kwa kupingana na Mungu kwa kila alichokataza katika amri zake 10 zilizoshushwa katika mlima wa Sinai.
 
You can not understand the universe specifically the way way how it works in lowest dimension form....

Kila siku nasema kuwa mwanadamu upo katika lowest level ya frequency dimension...

lower life forms can not understand the total realm mpaka uingie katika highest life form dimension (quantum) na kutokana na habitat yetu kuwa katika lower dimension ndo mana tunashindwa kusynchronize na higher dimension of reality..

At higher dimension za quantum realm( scale) kila kitu kimewekwa wazi, and it's fraction of second to understand how particles of nature interact under supersonic speed of reality with no illusion..

Hivi unalazimishaje uelewe mfumo ulivyo wakati upo ndani ya dimension ndogo wakati mfumo unaokutawala upo katika dimension scale kubwa...?? Insane....

Yani nasema tena na kurudia tena elimu zetu za biblia ni ndogo sana kuelezea how everything is processed kwa sababu watu wake wapo katika low level ya quatum scale( Realm ) na huwezi ukaelewa katika quantum scale ndogo mfumo ulio katika high quantum scale...ndo mana hata waliotutangulia maarifa wapo katika kufaiti wajue kuinterprete things under higher dimension in quantum realm state make huko vitu vipo wazi ,tunawaita wenye ulimwengu kwa sababu wamewahi kuelewa maarifa flani jinsi mfumo katika lower dimension ulivyo na dimension za reality zipo katika scale flani na kufanya mgawanyo wa quantun realm katika level tofauti . ..

The universe has offered a number of quantum realm posibilities za frequency dimensions entity tofauti ili kila kiumbe chenye uelewe wowote kiweze kusavaivu kulingana na uelewa wako ..

The universe is more flux,it offers higher number of quantum posibility ya kila kiumbe kusaivu under different levels za dimensions,the more unaingia katika dimension kubwa ndipo ulimwengu unakuweka kwenye level zingine za uhalisia wa maisha and vice versa

Hapo ulipofikia leo na uliyoyafahamu hukutegemea kama ungefika hapo na hata kama ulitegemea kufika hapo lakini kwa perception tofauti ,meaning that the universe is more flux,it offers more options kwa kila kiumbe kutokana na quantum realm scale uliyoascend na haina upendeleo na mtu,kila kiumbe atasavaivu kutokana na quantum scale alipofikia na utakufa katika quantum awareness ulipokuwa umefikia, hata perception ni tofauti kwa sababu the magneto frequency ya awareness inashift kwa speed kubwa sana ,so we have to interprete the magneto quantum scale frequency inayotushikilia wote ,but in oreder to understand ,we have to reach as higher as possible katika higher dimension entity za quantum realm..

Kuna watu wamefanikiwa kuwa katika dimensions flani za juuu na hao ndo tunawaita wenye ulimwengu huu simply because they can manipulate any reality na kuwa illusion kupitia quantum scale inversions of reality...

Wanatusubject kwenye quantum illusion state ambayo inaprovide magneto frequency kadhaaa ya kukushikilia uendelee kucheza na frequency quantum scale flani katika hiyo hiyo low dimension yako na hutaweza kamwe kufikia au kuascent into higher dimension kiasi cha kumanipulate reality..

You can not identify the owner of the universe katika low quantum realm state au lower dimension wakati inhabitation yake ipo katika higher dimension za quantum level..
you need to ascent to break up the lower forces ambazo zimekusubject kwenye illusion of reality ..

Hakuna mtu katika lower dimension state atakayekuja hapa kujifanya kuelezea jinsi owner wa universe alivyo kwa sababu you can not describe the higher quantum superposion wakati wew upo katika lower life forms...

Ndo mana kuna watu kama kina Werner Karl Heisenberg na Schrödinger wamejaribu kulitolea hili swala kwa ufafanuzi wa kimafumbo kuwa ni ngumu sana kupredict the true value au uwepo wa kitu bila kuwa eneo husika katika dimension flani...unless utakuwa uongo..

Ndo mana jamaaa anasema kuwa kuna kitu kinaitwa the observer effect, which notes that measurements of certain systems cannot be made without affecting the systems, that is, without changing something in a system. Heisenberg utilized such an observer effect at the quantum level as a physical "explanation" of quantum uncertainty kama ilivyo ngumu kujua sehemu( position ya kitu kilipo) pamona na speed yake kwa pamoja...

Hawa watu walikuwa wanatolewa ufafanuzi haya mambo kwa madumbo sana ndo mana hata watu waliosoma physics mpaka leo ukimuliza maana ya maneno yale atakimbilia kukwambia jamaaa walikuwa wanazungumzia electron,probably it is electron katika quatum awareness yako wew but in higher dimension analysis inaongelea mfumo mzima katika quatum scale ya juu snaa..

Watu wa dini na unajimu wataendela kukazia mambo yao hapa na hakuna atakaetoa jibu la maana hapa unless uingie katika quantum scale kubwa ndipo utaweza kujua mfumo mzima wa jinsi ulimwengu unavyooperate ndipo unaweza ukatoa jibu la mwisho kuwa kuna mtu anaiendesha au ni self operating kwa reason inayoijua yenyewe..

Tunafanyaje ili kuingia kwenye higher level dimension mkuu
 
First of all you didn't name me a mortal as intelligent as man.

Secondly, man made AI to assist the human race in survival, whether we will coexist as Dan Brown says in the Origin or not or if AI is going to take over or not,that doesn't change the fact that man created AI.

We don't have to make unnecessary conspiracy stories to believe simple reality.
Human being as the only Intelligent being existing with no co- existance of other Intelligent beings?.....Damn

Is human being responsible with the Artificial Intelligence ?
 
kwa mujibu wa bible Dunia ni ya Mungu ila inatawaliwa na Shetani,. Shetani kashika usukani ndiyo maana hata ishu haziendi.
 
Mimi nitaitawala dunia kupitia mizimu,kila mtu aamini aaminicho sio wengine kujifanya werevu kuliko wengine.
 
You can not understand the universe specifically the way way how it works in lowest dimension form....

Kila siku nasema kuwa mwanadamu upo katika lowest level ya frequency dimension...

lower life forms can not understand the total realm mpaka uingie katika highest life form dimension (quantum) na kutokana na habitat yetu kuwa katika lower dimension ndo mana tunashindwa kusynchronize na higher dimension of reality..

At higher dimension za quantum realm( scale) kila kitu kimewekwa wazi, and it's fraction of second to understand how particles of nature interact under supersonic speed of reality with no illusion..

Hivi unalazimishaje uelewe mfumo ulivyo wakati upo ndani ya dimension ndogo wakati mfumo unaokutawala upo katika dimension scale kubwa...?? Insane....

Yani nasema tena na kurudia tena elimu zetu za biblia ni ndogo sana kuelezea how everything is processed kwa sababu watu wake wapo katika low level ya quatum scale( Realm ) na huwezi ukaelewa katika quantum scale ndogo mfumo ulio katika high quantum scale...ndo mana hata waliotutangulia maarifa wapo katika kufaiti wajue kuinterprete things under higher dimension in quantum realm state make huko vitu vipo wazi ,tunawaita wenye ulimwengu kwa sababu wamewahi kuelewa maarifa flani jinsi mfumo katika lower dimension ulivyo na dimension za reality zipo katika scale flani na kufanya mgawanyo wa quantun realm katika level tofauti . ..

The universe has offered a number of quantum realm posibilities za frequency dimensions entity tofauti ili kila kiumbe chenye uelewe wowote kiweze kusavaivu kulingana na uelewa wako ..

The universe is more flux,it offers higher number of quantum posibility ya kila kiumbe kusaivu under different levels za dimensions,the more unaingia katika dimension kubwa ndipo ulimwengu unakuweka kwenye level zingine za uhalisia wa maisha and vice versa

Hapo ulipofikia leo na uliyoyafahamu hukutegemea kama ungefika hapo na hata kama ulitegemea kufika hapo lakini kwa perception tofauti ,meaning that the universe is more flux,it offers more options kwa kila kiumbe kutokana na quantum realm scale uliyoascend na haina upendeleo na mtu,kila kiumbe atasavaivu kutokana na quantum scale alipofikia na utakufa katika quantum awareness ulipokuwa umefikia, hata perception ni tofauti kwa sababu the magneto frequency ya awareness inashift kwa speed kubwa sana ,so we have to interprete the magneto quantum scale frequency inayotushikilia wote ,but in oreder to understand ,we have to reach as higher as possible katika higher dimension entity za quantum realm..

Kuna watu wamefanikiwa kuwa katika dimensions flani za juuu na hao ndo tunawaita wenye ulimwengu huu simply because they can manipulate any reality na kuwa illusion kupitia quantum scale inversions of reality...

Wanatusubject kwenye quantum illusion state ambayo inaprovide magneto frequency kadhaaa ya kukushikilia uendelee kucheza na frequency quantum scale flani katika hiyo hiyo low dimension yako na hutaweza kamwe kufikia au kuascent into higher dimension kiasi cha kumanipulate reality..

You can not identify the owner of the universe katika low quantum realm state au lower dimension wakati inhabitation yake ipo katika higher dimension za quantum level..
you need to ascent to break up the lower forces ambazo zimekusubject kwenye illusion of reality ..

Hakuna mtu katika lower dimension state atakayekuja hapa kujifanya kuelezea jinsi owner wa universe alivyo kwa sababu you can not describe the higher quantum superposion wakati wew upo katika lower life forms...

Ndo mana kuna watu kama kina Werner Karl Heisenberg na Schrödinger wamejaribu kulitolea hili swala kwa ufafanuzi wa kimafumbo kuwa ni ngumu sana kupredict the true value au uwepo wa kitu bila kuwa eneo husika katika dimension flani...unless utakuwa uongo..

Ndo mana jamaaa anasema kuwa kuna kitu kinaitwa the observer effect, which notes that measurements of certain systems cannot be made without affecting the systems, that is, without changing something in a system. Heisenberg utilized such an observer effect at the quantum level as a physical "explanation" of quantum uncertainty kama ilivyo ngumu kujua sehemu( position ya kitu kilipo) pamona na speed yake kwa pamoja...

Hawa watu walikuwa wanatolewa ufafanuzi haya mambo kwa madumbo sana ndo mana hata watu waliosoma physics mpaka leo ukimuliza maana ya maneno yale atakimbilia kukwambia jamaaa walikuwa wanazungumzia electron,probably it is electron katika quatum awareness yako wew but in higher dimension analysis inaongelea mfumo mzima katika quatum scale ya juu snaa..

Watu wa dini na unajimu wataendela kukazia mambo yao hapa na hakuna atakaetoa jibu la maana hapa unless uingie katika quantum scale kubwa ndipo utaweza kujua mfumo mzima wa jinsi ulimwengu unavyooperate ndipo unaweza ukatoa jibu la mwisho kuwa kuna mtu anaiendesha au ni self operating kwa reason inayoijua yenyewe..
JINSI YA KUFIKIA HIGH LEVEL OF CONSCIOUSNESS DENSITY
 
Attachments

  • akashicihsaka-20181130-0001.jpg
    akashicihsaka-20181130-0001.jpg
    81.8 KB · Views: 57
Ukitafakari kwa makini karibu dunia yote imetekwa na shetani ! Kila penye mafanikio ya ajabu shetani yupo . Anza kijijini mwako , aliyefanikiwa chapchap amefanya nini ! Hata kama anasali sana chunguza tu kwa makini ! Ngoja nijibu swali "Dunia inaongozwa na shetani "
 
Mkuu lifecoded umetoa maelezo ya kina ila nafikiri haihitaji kuwa katika higher quantum levels kujua jinsi dunia inavyo operate. Hapo kinachohitajika ni maono, maana huwezi ku experiment ili kujua mfumo wa dunia unaendeshwa vipi na ni nani anayeiongoza dunia ila ufunuo na maono pekee.

Natetea hoja yangu maana mambo yote magumu yaliyoandikwa katika biblia binadamu aliyaandika ama kupitia maono, ndoto au ufunuo, mengine yaliyobakia ni ya kihistoria na mengine ni ya miujiza (miracles) ambayo yametokana na karama (gifts).

Sasa mkuu unaposema hakuna binadamu anayeweza kujua la sivyo awe ametokana au ana ushirika wa moja kwa moja na higher quantum forms mimi napinga, maana technological advancements zote zimetokana na mawazo chanya ya binadamu kufikiri na kudadisi kila jambo kwa sheria za hesabu na fizikia, naamimi majibu ya maswali yote yatapatikana as longer as the human race continue to co-exist kwa njia ama ya proofs za kisayansi au maono (ambayo yatatupa turning point ya kufikiri upya kuhusu suala zima la mfumo wa dunia unavyoendeshwa au kujiendesha).

Naamini muda tu ndio kikwazo, kila swali litapata jibu, kama wewe mkuu lifecoded umeweza kujaribu kujibu basi yupo atakayeleta jibu kamili.

Nawasilisha
 
mkuu laws of physics zipi unazoziongelea kuwa ndo zinazoweza pata majibu au kutupeleka kwenye majibu ya swali letu...??

Labda kama niwe sijakusoma vizuri,lakini ukae ukijua kuwa kuna baadhi ya mambo yanaviolet laws of physics unazozijua wewe..huwezi ukayaelezea kwa kutumia current laws of physics...

Classical physics imepitwa na wakati lakini wakati ule ilijulikana kama ndo ina laws ambazo zingeiongelea universe kwa ustadi mkubwa lakini ndo hivo tena ikapigwa chini na modern physics ikaja kwa mbwembwe kubwa lakini tunaona inashindwa kuelezea baadhi ya paranormal events na inabaki inahang around tu...

Lakini bado modern physics inashindwa kuelezea mambo kwa undani zaidi...

Na kuna baadhi ya laws haziwezi tolea ufafanuzi baadhi ya phenomenon....mfano anti matter particle motion haiwezi elezewa na current laws of physics

Hakuna current laws za physics ambazo zinaweza elezea baadhi ya hidden energy ,mfano Dark energy hii haina laws ambayo unaweza ielezea kwa ufasaha na ndo mana wenye ulimwengu hawataki kuweka wazi juu ya kutumia laws mpya ambazo hazipo kwenye upande wa classical au modern physcis na pengine ndo likaja jawabu la kuzielezea Anti Gravity mechanisms mbali mbali ambazo hazijatolewa ufafanuzi kwa sisi tulio mbali na hayo mambo...

Unapoelezea umuhimu wa maono ni kweli maono yana mchango flani lakini lazima ujue kuwa kuna sheria zinazogovern kila kitu...

Hayo maono ni neno tu ambalo mtu alikaa chini na kuwafumba watu wakalie kusubilia maono toka sijui kwa Mungu lakini naomba nikwambie kuwa there are principles and laws that govern everything in this universe ...

Bila kufuata sheria hizo utabaki nje ya mstari na hakuna miracle yoyote itakayohappen kwako kuja kukufunulia mambo ...just pass into laws kila kitu kitakuwa wazi kwako...

Hao wanaotumia laws kudescribe mambo ndo wanaotupotosha kuwa wanafunuliwa...hakuna kitu kama hicho...
The universe drives each and everything under its laws ...japo kuna baadhi ya laws ambazo vijana wa kwanza kama kina Guy lusac,Newton,Telsa,Faraday ,Johanes kepler na akina Gallileo waliweza pewa mwongozo wa kufuata ili waweze kuijua dunia na ulimwengu wake ,pia waliyoyajua ni mengi sana japo mengi yamezuiliwa kutowekwa wazi ila waliweka kwenye maandishi lakini wenye ulimwengu waliwazuia wasiweze kuexpose ...

kuna mwongozo lazima uupitie ndo utaelewa mambo...hakuna maono mkuu...

Ndo mana kuna vitabu kama Kabbalah n.k ambavyo zinaelezea stages za kufuata ili kujua how the universe works japo kwa kiwango kidogo sana cha elimu hiyo kwenye Kabbalah ndo kinazungumzia jinsi ulimwengu ulivyo lakini kuna misahafu mizito hata hutakuja kuijua majina ila ipo inaelezea kwa kiwango kikubwa sana jinsi mambo yalivyo na hakuna maono...

We expect miracles katika lowest dimension lakini katika highest dimension everything is clear mkuu

Sisi tupo katika Quantum level ndogo sana hatuwezi describe quantum level za juu ikiwa huna access ya kufika huko...you have to ascend first katika higher quantum level ndo unaweza describe specificity ya kitu ...

There is no miracle mkuu kila kitu kina simamiwa na principles zake...

Sikatai kuwa hakuna mtu atakayekuja kuelezea kila kitu ila ni kwa mtiririko maalumu...
 
Back
Top Bottom