Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
Mi naamini Messi anafaa zaidi World cup ana goli moja lakini ana assist kama mbili au tatu. Laliga kafunga bao Kama zote assist kama zote dribbling kama zote kacreat chance kama zote tu. Yaan anastahili bila sababu yoyote