Nani hasa anastahili kubeba BALLON D'OR

Mi naamini Messi anafaa zaidi World cup ana goli moja lakini ana assist kama mbili au tatu. Laliga kafunga bao Kama zote assist kama zote dribbling kama zote kacreat chance kama zote tu. Yaan anastahili bila sababu yoyote
 
Hatuangalii nyumban kafanya nin

Tnaangalia alpokutana na wanaume wenzie kafanya nini
 
Mi naona bado mohammed Salah anastahili. kafanya mambo makubwa msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…