mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Lianzisheni tu afu tuwaombe polisi wakae pembeni ili muione nguvu ya umma halisi acha huo mnaoutamka kila uchao, CHADEMA yenyewe imebakia mitandaoni tu huku field wote huwaambii kitu kuhusu Magufuli.ccm ndo wafanya fujo akiweo anayeonya
Lianzisheni tu afu tuwaombe polisi wakae pembeni ili muione nguvu ya umma halisi acha huo mnaoutamka kila uchao, CHADEMA yenyewe imebakia mitandaoni tu huku field wote huwaambii kitu kuhusu Magufuli.
Hawajielewi haoLianzisheni tu afu tuwaombe polisi wakae pembeni ili muione nguvu ya umma halisi acha huo mnaoutamka kila uchao, CHADEMA yenyewe imebakia mitandaoni tu huku field wote huwaambii kitu kuhusu Magufuli.
Hiyo Sacco's ya mtaa wa ufipa ndio iwe na nguvu(wanachama wa chadema) kuliko CCM? Huo Ni ukilaza!!! Unafikiri wahuni nyie mkijaribu fujo bila hata polisi uvccm tu inawaotosha bila hata mamilioni ya raia ambao Ni wanachama na wafuasi wa CCMSiku polisi watalogwa wakakaa pembeni hiyo ndio siku ccm itafutika milele. Hicho ni chama cha wazee na vijana waoga. Miamba hii ndoto yako itimie ili uone ukweli unaofunikwa na propaganda mfu.
S
Hivi majuzi IGP Sirro alikaririwa akitoa onyo kali kwa wale watakaoleta fujo katika uchaguzi mkuu ujao. Onyo kama hili limekuwa likitolewa pia kwa nyakati mbali mbali na viongozi waandamizi wa serikali. Binafsi nimepiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 1970, na baada ya hapo nimekuwa nikipiga kura kila wakati uchaguzi unapoitishwa.
Sijawahi kuona wala kusikia hata mara moja raia ambao ni wapiga kura au wasiokuwa wapiga kura wakifanya fujo wakati wowote wa uchaguzi mkuu. Si hivyo tu, sijawahi kuona wala kusikia hata viashiria vya fujo. Kila mara nimekuwa niona watanzania wanajipanga kwenye mistari na kupiga kura.
Naamini IGP Sirro anafahamu kuwa Watanzania ni watu watulivu sana na hawana tabia ya kufanya fujo wakati wa uchaguzi. Hata pale ambapo utata unapojitokeza kutoka na uzembe wa viongozi, watanzania wameendelea kuwa watulivu.
Kwa mfano, katika uchaguzi mkuu wa 1995 pale vituo vyote vya kupigia kura katika jiji la DSM vilijikuta vinashindwa kuendesha shughuli za kupigia kura kutoka na kukosekana kwa vifaa vya kupigia kura, wananchi waliendelea kuwa watulivu hata pale walipoambiwa kuwa uchaguzi kwa Dsm umefutwa hadi hapo baadaye.
Nadhani ingekuwa jambo bora kama IGP Sirro angewaonya viongozi wanaosimamia uchaguzi wasilete figisufigisu yoyote - maana huko ndo kwenye tatizo. Tatizo ambalo limekuwa likijitokeza siku za nyuma ni pale viongozi wanapokataa kutangaza matokeo kwa kutoa sababu zisizo na mashiko. Hawa ndo wanatakiwa waonywe na si wapiga kura.
Hiyo Sacco's ya mtaa wa ufipa ndio iwe na nguvu(wanachama wa chadema) kuliko CCM? Huo Ni ukilaza!!! Unafikiri wahuni nyie mkijaribu fujo bila hata polisi uvccm tu inawaotosha bila hata mamilioni ya raia ambao Ni wanachama na wafuasi wa CCM
Ccm ingekuwa na wafuasi mamilioni isingetemea vyombo vya dola kutangazwa washindi. Nasema hivi, polisi wakosee tu wawaache mjitegemee, ccm itageuka historia.
Ukiona baba mwenye nyumba anapiga kelele sana kuonya wanawe wasiende ngomani basi jua kama yeye si mpiga ni mcheza ngoma ama shabiki.Hivi majuzi IGP Sirro alikaririwa akitoa onyo kali kwa wale watakaoleta fujo katika uchaguzi mkuu ujao. Onyo kama hili limekuwa likitolewa pia kwa nyakati mbali mbali na viongozi waandamizi wa serikali. Binafsi nimepiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 1970, na baada ya hapo nimekuwa nikipiga kura kila wakati uchaguzi unapoitishwa.
Sijawahi kuona wala kusikia hata mara moja raia ambao ni wapiga kura au wasiokuwa wapiga kura wakifanya fujo wakati wowote wa uchaguzi mkuu. Si hivyo tu, sijawahi kuona wala kusikia hata viashiria vya fujo. Kila mara nimekuwa niona watanzania wanajipanga kwenye mistari na kupiga kura.
Naamini IGP Sirro anafahamu kuwa Watanzania ni watu watulivu sana na hawana tabia ya kufanya fujo wakati wa uchaguzi. Hata pale ambapo utata unapojitokeza kutoka na uzembe wa viongozi, watanzania wameendelea kuwa watulivu.
Kwa mfano, katika uchaguzi mkuu wa 1995 pale vituo vyote vya kupigia kura katika jiji la DSM vilijikuta vinashindwa kuendesha shughuli za kupigia kura kutoka na kukosekana kwa vifaa vya kupigia kura, wananchi waliendelea kuwa watulivu hata pale walipoambiwa kuwa uchaguzi kwa Dsm umefutwa hadi hapo baadaye.
Nadhani ingekuwa jambo bora kama IGP Sirro angewaonya viongozi wanaosimamia uchaguzi wasilete figisufigisu yoyote - maana huko ndo kwenye tatizo. Tatizo ambalo limekuwa likijitokeza siku za nyuma ni pale viongozi wanapokataa kutangaza matokeo kwa kutoa sababu zisizo na mashiko. Hawa ndo wanatakiwa waonywe na si wapiga kura.
Hivi majuzi IGP Sirro alikaririwa akitoa onyo kali kwa wale watakaoleta fujo katika uchaguzi mkuu ujao. Onyo kama hili limekuwa likitolewa pia kwa nyakati mbali mbali na viongozi waandamizi wa serikali. Binafsi nimepiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 1970, na baada ya hapo nimekuwa nikipiga kura kila wakati uchaguzi unapoitishwa.
Sijawahi kuona wala kusikia hata mara moja raia ambao ni wapiga kura au wasiokuwa wapiga kura wakifanya fujo wakati wowote wa uchaguzi mkuu. Si hivyo tu, sijawahi kuona wala kusikia hata viashiria vya fujo. Kila mara nimekuwa niona watanzania wanajipanga kwenye mistari na kupiga kura.
Naamini IGP Sirro anafahamu kuwa Watanzania ni watu watulivu sana na hawana tabia ya kufanya fujo wakati wa uchaguzi. Hata pale ambapo utata unapojitokeza kutoka na uzembe wa viongozi, watanzania wameendelea kuwa watulivu.
Kwa mfano, katika uchaguzi mkuu wa 1995 pale vituo vyote vya kupigia kura katika jiji la DSM vilijikuta vinashindwa kuendesha shughuli za kupigia kura kutoka na kukosekana kwa vifaa vya kupigia kura, wananchi waliendelea kuwa watulivu hata pale walipoambiwa kuwa uchaguzi kwa Dsm umefutwa hadi hapo baadaye.
Nadhani ingekuwa jambo bora kama IGP Sirro angewaonya viongozi wanaosimamia uchaguzi wasilete figisufigisu yoyote - maana huko ndo kwenye tatizo. Tatizo ambalo limekuwa likijitokeza siku za nyuma ni pale viongozi wanapokataa kutangaza matokeo kwa kutoa sababu zisizo na mashiko. Hawa ndo wanatakiwa waonywe na si wapiga kura.
Kamata ilani katika kwa bidii haya mengine yako juu ya upeo wakoSio kweli chama dola kinashinda kila chaguzi halafu kina dola kivipi kianzishe fujo? Ni kitu ambacho hakiwezekani!!! Halafu unadanganya kuhusu utafiti Tena unaenda mbali kusema duniani hebu tuwekee huo utafiti wa duniani Tena sikuulizi Nani alietafiti Ila usikimbie
Lazima Kuna Mwisho WA Kila kitu,,hata kama hautaishi Ku ona Mwisho huo!.. KAMA MAGUFULI ANAJUA HAYO ARUHUSU TUME HURULianzisheni tu afu tuwaombe polisi wakae pembeni ili muione nguvu ya umma halisi acha huo mnaoutamka kila uchao, CHADEMA yenyewe imebakia mitandaoni tu huku field wote huwaambii kitu kuhusu Magufuli.