Nani hufanya vetting pindi Rais akihitaji kupata kiongozi?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Ni akina nani wanahusika na suala la kufanya vetting?

Rais anateua mtu ndani ya muda mchache anamtengua, mara kadhaa makosa haya yanajirudia. Rais anapewa mtu ambaye sio sahihi.

DC wa Sumbawanga alifanyiwa vetting? Diwani Athumani alipotolewa Idarani na kupelekwa Katibu Mkuu Ikulu uteuzi ukatenguliwa ndani ya muda mfupi, DGIS Masorro miezi 7 ofisini tayari ametenguliwa, mifano ni mingi.

Ni wapi wanapokosea watu wa vetting?

===

Pia soma:
- Swali muhimu: Anayefanya Uteuzi ni Rais Samia au Idara ya Usalama wa Taifa?
- Jenerali Ulimwengu: Siyo kila anayetangazwa kateuliwa na Rais, wengine ni Wateule wa "Influencers" Rais anaweka saini tu!
-
 
Angalia ma DED wote ni makada, so tuseme wanaofanya vetting ni CCM.
 
Wakina.......[emoji777]
Kina.............[emoji3581]
 
Vetting ya ndiyo Kila aliyeajiriwa lazima atoke
 
Mimi na wewe au
 
Kwa, CCM hii ya shangazi samia, ni, machawa tu, na hardliners wa CCM, hawaangalii weredi, kinachoangaliwa umesimama vipi ndani ya CCM,
 
Tatizo ni CCM
 
Hivi gari lililokatika Senta bolti linatembeaje barabarani ?
 
Kibwengu mkuu
 

"Vetting" siyo utendaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…