wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Si wanateuliwa Kwa kuhisi na kuzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka kujibu the sameUmejuaje kama ni JIBU la swali?
Hili swali ulitakiwa kuuliza enzi za Magufuli maana haya mambo yalianzia na wakina Makonda.Ni akina nani wanahusika na suala la kufanya vetting?
Rais anateua mtu ndani ya muda mchache anamtengua, mara kadhaa makosa haya yanajirudia. Rais anapewa mtu ambaye sio sahihi.
DC wa Sumbawanga alifanyiwa vetting? Diwani Athumani alipotolewa Idarani na kupelekwa Katibu Mkuu Ikulu uteuzi ukatenguliwa ndani ya muda mfupi, DGIS Masorro miezi 7 ofisini tayari ametenguliwa, mifano ni mingi.
Ni wapi wanapokosea watu wa vetting?
Aliyekuambia Rais anafanya vetting ni nani? Hakuna cha vetting wala nini. Kwanza hii teua tengua ni changa la macho tu. Maana anayeteuliwa ni kiazi kuliko alitenguliwa.Ni akina nani wanahusika na suala la kufanya vetting?