Nani hufanya vetting pindi Rais akihitaji kupata kiongozi?

Rushwa,upendeleo na fitna zimeharibu mifumo kila mahala hakuna palipo salama. Mungu atusaidie.
 
Sidhani Kama Kuna vetting.
Kwanini kila Baraza likifanyiwa marekebisho madogo lazima MCHENGERWA awe involved??
 
si kuna uzi mlileta hapa kwamba aliyehusika na bwana diwani alikuwa abdul😅😅😅.

kwakweli nchi hii imekwisha habari yake.
 
Mkwere, wahuni (makamba jr, Nape,riz1, na wengineo),mafisadi papa, na wapigaji.
 
Hili swali ulitakiwa kuuliza enzi za Magufuli maana haya mambo yalianzia na wakina Makonda.
 
Kizimkazi Hana muda wa kupoteza kabisa.YY ukitetea DP-WORLD tu umekula maisha
 
Aliyekuambia Rais anafanya vetting ni nani? Hakuna cha vetting wala nini. Kwanza hii teua tengua ni changa la macho tu. Maana anayeteuliwa ni kiazi kuliko alitenguliwa.
 
Aliyekuambia Rais anafanya vetting ni nani? Hakuna cha vetting wala nini. Kwanza hii teua tengua ni changa la macho tu. Maana anayeteuliwa ni kiazi kuliko alitenguliwa.
Haya wahi ukojoe ukalale
 
Kitengo cha Usalama, wakisaidiana na kitengo maalum cha ajira ndani ya CCM, wakishapata majina 3 wanampelekea Mwenyekiti wa CCM ambaye kwa katiba yetu ndiye Rais wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…