Katiba ya ovyo sana kumbe wanaomba rerfoms wana akili sanaMamlaka ya rais hukoma wakati ambao rais mpya huapa na kuingia ofisini.
KATIBA YA JMT IPO WAZI
kwa kunyoosha rula ni kuwa mh. rais samia alikuwa na kofia 3 kwa wakati mmoja
1. rais wa jmt (hapa hakuna jukumu lililopungua)
2. mgombea kupitia ccm
3. mwenyekiti wa ccm taifa
Katiba ya ovyo sana kumbe wanaomba rerfoms wana akili sana ndo maana watoto wetu wamepigwa risasiMamlaka ya rais hukoma wakati ambao rais mpya huapa na kuingia ofisini.
KATIBA YA JMT IPO WAZI
kwa kunyoosha rula ni kuwa mh. rais samia alikuwa na kofia 3 kwa wakati mmoja
1. rais wa jmt (hapa hakuna jukumu lililopungua)
2. mgombea kupitia ccm
3. mwenyekiti wa ccm taifa