Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Najua hili swali ntakuwa sijiulizi peke yangu najua tuko wengi tunaojiuliza!
Sote tunajua Rais wa nchi anachaguliwa na wananchi wote as far as wamefikisha vigezo vinavyostahiki.
Nataka nijue nani hasa humchagua Mwenyekiti wa CHADEMA.
Mchakato wao wa uchaguzi ukoje?
Je, ni mtu yeyote ambaye ana kadi ACTIVE ya CHADEMA? Kwamba hata Sativa anaweza kuamka kwenda kupiga kura?
Au kuna wajumbe maalum ambao huchaguliwa kwa ajili ya kumpigia kura mwenyekiti?
Kama kuna wajumbe, nani huchagua hao wajumbe na mchakato wa kuwapata hao wajumbe ukoje?
=====================
Nakaribisha watu wenye ujuvi kuhusu swali Waje kunitoa tongotongo nawasilisha