Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ninavyojua kila kata inachagua wajumbe, na hao wajumbe wanachaguliwa na wanachama wa chadema wa kawaida(akina sativa) wakazi wa kata husika, hao wajumbe ndio wanaochagua mwenyekiti taifa
Wajumbe hawa huchaguliwa na wanachi wa vijiji husika, ni wajumbe wa halmashauri ya vijiji, ambao walipatikana juzi kati kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Jumla walikua 1222. Kama unakumbuka. Hao ndio wapiga kura za kuchagua mwenyekiti
Ngoja tusubiri wengine, mimi nikijibu nitatukanwa, sitaki hayo mambo
Nadhani umesikia zile tetesi watu watatumiwa nauli kuja kupiga kura. Wajitokeze wengi. And mind it chadema ni wachache just 1300. Hivo wanavutika na kumbi nyingi zinaweza kuaccomodate idadi hyo. Hivo watakuja.Mkuu hapo nimekusoma asante kwa ufafanuzi.
Nina swali tena kidogo ili nielewe zaidi kama hutojali.
Ina maana wana CHADEMA tuseme wa kijiji A wanafanya ka uchaguzi kadogo kumpata huyo mjumbe au utaratibu wa kuwa pata hao wajumbe unakuwaje mkuu?
Au ni kwamba wale viongozi wote wa serikali za mitaa kutoka CHADEMA ndio wanaenda kama wajumbe automatically?
Hivi hadi sasahivi kukueleza kote hujajua wajumbe wanavyochaguliwa, huwa ushiriki chaguzi za serikali za mitaa?Karibu mkuu utujuze.
Maneno ya vijana wa UVCCM yasikusumbue.
Nimeambiwa wajumbe ni viongozi wa CHADEMA kutoka kwenye level za chini kabisa kama mitaa na vijiji NA kuendelea.
Nilikuwa natamani kujua hao wajumbe wanachaguliwa kwa mfumo mpaka kwenda kupiga kura
Mkono mtupu haulambwi!! Jitu linalea mtumbo mkubwa linapiga porojo huku wenzie wakipambana angalau mkutano ufanyike!!Hawa wajumbe mpaka sasa wanachezea life time opportunity 'Ubilionea' maana hela nje nje
pesa sio ishuWajumbe wako 1200