Nani huwa anaumia kati ya BaBa au MaMa!!!!!!!

bacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
4,282
Reaction score
797
Habari lenu bana?

Hivi nani huwa anaumia pindi anapokosa unyumba muda mrefu kwenye ndoa, ni baba au mama???

Hebu tupeane uzoefu!
 
Mbona unauliza swali kama wewe ni dooogo au sio baba wala mama? Ukiwa mmojawapo utajuwa tu subiri.
 
wote wanaumia kwasababu wote huhitaji
 
Habari lenu bana?

Hivi nani huwa anaumia pindi anapokosa unyumba muda mrefu kwenye ndoa, ni baba au mama???

Hebu tupeane uzoefu!

Mpwa si ulisema PLAN A iki fail unatumia PLAN B
 
Anayenyimwa ndiye huumia...!

Kwahiyo haijalishi ni mama au baba sindiyo??lakini swali anayeumia kwa maana kama ndani kila mmoja ameuchuna ninani wakanza kuumia au mimi sijamsoma??:tonguez:
 
wote wanaumia kwasababu wote huhitaji
Under this situation lazima gemu lichezwe....! Vinginevyo, kutakuwa na nafasi ya kujadili na kufikia maridhiano ya pamoja...! Hivyo, wote wataridhika na maumivu kupotea....!

Mpwa si ulisema PLAN A iki fail unatumia PLAN B
What are these?

Kwahiyo haijalishi ni mama au baba sindiyo??lakini swali anayeumia kwa maana kama ndani kila mmoja ameuchuna ninani wakanza kuumia au mimi sijamsoma??:tonguez:
Si rahisi wote kuchuniana, na hata ikitokea basi kila mmoja atakuwa anaridhika na hali iliopo...! Hivyo, maumivu hakuna...! Labda kama unataka somo zaidi...!
 
Mpwa si ulisema PLAN A iki fail unatumia PLAN B

Ni kweli mpwa lakini nasemea kama umeamua kutulia home, halafu wife anakubania na hata banda la uani huwa hamwendi kupumzika!je, hapo nani anaumia kukaa muda mrefu bila hiyo maneno!
 
Kwahiyo haijalishi ni mama au baba sindiyo??lakini swali anayeumia kwa maana kama ndani kila mmoja ameuchuna ninani wakanza kuumia au mimi sijamsoma??:tonguez:

yes, KakaKiiza kama wote wameuchuna,je ni nani anaugulia maumivu ndani kwa ndani kwa kukaa muda mrefu bila kushiriki hilo tendo
 
ni kweli mpwa lakini nasemea kama umeamua kutulia home, halafu wife anakubania na hata banda la uani huwa hamwendi kupumzika!je, hapo nani anaumia kukaa muda mrefu bila hiyo maneno!

jiunge isc hilo ndio suluhisho
 
mwanaume siku zote ndio anaumia!
 
jiunge isc hilo ndio suluhisho

Aaaaaaaah!mpwa, mbona mimi ni member huko, sema tu ni mwanachama ambae sio hai!sijatoa kiingilio na ada ya uanachama kwa muda mrefu sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…