Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli tupuAnayenyimwa ndiye huumia...!
Anayenyimwa ndiye huumia...!
Habari lenu bana?
Hivi nani huwa anaumia pindi anapokosa unyumba muda mrefu kwenye ndoa, ni baba au mama???
Hebu tupeane uzoefu!
Anayenyimwa ndiye huumia...!
Mpwa si ulisema PLAN A iki fail unatumia PLAN B
Wats planB now?
Au ndo ile Team&Co-Brand!:hand:
Under this situation lazima gemu lichezwe....! Vinginevyo, kutakuwa na nafasi ya kujadili na kufikia maridhiano ya pamoja...! Hivyo, wote wataridhika na maumivu kupotea....!wote wanaumia kwasababu wote huhitaji
What are these?Mpwa si ulisema PLAN A iki fail unatumia PLAN B
Si rahisi wote kuchuniana, na hata ikitokea basi kila mmoja atakuwa anaridhika na hali iliopo...! Hivyo, maumivu hakuna...! Labda kama unataka somo zaidi...!Kwahiyo haijalishi ni mama au baba sindiyo??lakini swali anayeumia kwa maana kama ndani kila mmoja ameuchuna ninani wakanza kuumia au mimi sijamsoma??:tonguez:
Kwahiyo haijalishi ni mama au baba sindiyo??lakini swali anayeumia kwa maana kama ndani kila mmoja ameuchuna ninani wakanza kuumia au mimi sijamsoma??:tonguez:
ni kweli mpwa lakini nasemea kama umeamua kutulia home, halafu wife anakubania na hata banda la uani huwa hamwendi kupumzika!je, hapo nani anaumia kukaa muda mrefu bila hiyo maneno!
Ataruka mkojo mwishowe atakanyaga mavi...!jiunge isc hilo ndio suluhisho
Ataruka mkojo mwishowe atakanyaga mavi...!
mens ndo wanaumia sana.