Nani huwa anaumia kati ya BaBa au MaMa!!!!!!!

Binafsi nijuavyo mimi, nikwamba mimi ndiye ninaye umia sana nikikosa mambo flani, upande wa pili siwezi jua maana sijawahi ku-experience jinsia ya pili.:hand:
 
...Hakuna anayeumia bana kila mmoja ana-alternative means ya kujikomboa.....:hand::hand:
Sajenti i hope utakuwa wewe ni men, misuli ya naniliu ikishakaza then demu akuambie no, si unaumia mwili na nafisi!!!?
 
:A S 13πŸ˜€uh maswali Mengine bana siyaelewi kabisa! Sasa ukishajua anayeumia utafanyaje wewe kama mtoto? utaenda kumtafutia wa kufanya naye ili asiumie au utamuombea msamaha kwa baba/mama ili ampe mwenzake anayeumia???????? kiruuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!1
 

Halafu huyo mtoto kwenye avatar yako hana adabu kabisa, anatamani vya wakubwa!!!asubiri akue
 
...Hakuna anayeumia bana kila mmoja ana-alternative means ya kujikomboa.....:hand::hand:

Baba kwa kupiga kapumpusha na Mazeri hivyohivyo
:becky::becky::becky::becky:
 
nafikiri hatukuelewa swali. alikuwa anamaanisha kwamba kati ya baba au mama nani anaweza kuhimili kukaa muda mrefu bila kupata tendo la ndoa? mama anaweza kukaa kuliko mwanaume. kwa hiyo tukija kwenye swali lenyewe kama baba akiwa ameshajiandaa kuendesha baiskeli halafu akatoswa anaumia sana kuliko mama angekuwa amejikoki kupanda baiskeli akatoswa.

wanaume wanaumia zaidi.
 
Halafu huyo mtoto kwenye avatar yako hana adabu kabisa, anatamani vya wakubwa!!!asubiri akue

:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
Vijana wa kileo hao
 

safi sana Carol,umelielewa swali vizuri sana
 

Njoo unikoki halafu unitose uone kama naomia zaidi na wakati huo huo na mie nakukoki utapata jibu sijui jawabu
πŸ˜›arty:πŸ˜›arty:πŸ˜›arty:πŸ˜›arty:
 
wote wanaumia inategemea nani ananyimwa na sababu gani
 
hahaa kazi ipo hapa!
mi chichemi sbb sijawahi kuwa baba,siku nikiwa baba labda nitaweza ku-compare kisha nitajua jibu:A S 13:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…