Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
hawa watu wakamatwe mara moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani huyu anaepigwa hivi? Amekosa nini? Kwanini wenye kumpiga wanasema "atatuharibia kazi" kazi gani? Na ame' post neno "kimeumanaaa" wapi? Ndiyo kosa lake? Anaefahamu kisa hiki atusaidie, tufahamu. Namba za gari ni T 777 BWS.
Hii si ni kama huyu jamaa ametekwa na anachezea kipigo, What if angezimia au kufariki si angeokotwa Msituni au kwenye Kiroba baharini?
Tunaiomba mamlaka (Najua wengine wanatusoma humu) ifuatilie tukio hili, kwa kweli Tanzania kuna sehemu si salama.
View attachment 1849488
AiseeHii nchi jiwe na SSH wametuharibia sana!
Madalali haoNi nani huyu anaepigwa hivi? Amekosa nini? Kwanini wenye kumpiga wanasema "atatuharibia kazi" kazi gani? Na ame' post neno "kimeumanaaa" wapi? Ndiyo kosa lake? Anaefahamu kisa hiki atusaidie, tufahamu. Namba za gari ni T 777 BWS.