Nani Internet provider ahueni tz? (VODACOM SITAKI KUSIKIA)

Criterion

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Posts
11,797
Reaction score
11,891
Tangu vodacom walipoingia Tanzania, nilikuwa mteja wao na nimetumia laini zao kwa mawasiliano ya simu na internet. Lakini sasa hapana. Sitaki kusikia dude linaloitwa vodacom. Wameamua kuwakomoa wateja kwa kujua hakuna serikali inayojali vilio vya Watanzania wanaoibiwa kwa nji aza mitandao ya simu.

Ninahisi vodacom inamilikiwa na vigogo wa serikali na ndiyo maana pamoja na malalamiko mengi ya wateja bado wameenedeleza ubabe wa kuwakomoa kwa lugha mbali mbali. Hapana sasa neogh is enough. Mimi na watu wangu tunaondoka voda rasm for ever.

Sasa viburi, wizi na dhurma za kampuni ya Vodacom haivumiliki tena. Hapana sasa basi. Tumepiga kelele tukidhani watajirekebisha. Kumbe tumechochea ukatili ya firauni!. Enough is enough.

Ninaomba msaada wenu Wazalendo. Wale wasiokuwa na ufisadi kama mimi. Wenye taarifa sahihi nisaidieni na wahitaji wenzangu.

KAMPUNI GANI YA MAWASILIANO HAPA TANZANIA AMBAYO INATOA HUDUMA BORA ZA INTERNET KWA REASONABLE PRICES NA RELIBLE SERVICES? WENYE CUSTOMER CARE NZURI NA WANAOJALI WATEJA? NINAOMBENI TU MNIAMBIE NA UZURI WAO, NINAKWENDA KUCHUKUA LAINI NA KUBONDA BONDA HUU UJINGA NA VIBURI VYA VODACOM.


Natanguliza shukrani.
 
Vodacom wameletwa kuongeza umaskin. Au wanapiga chao mapema
 
Karibu Airtel brother

Ilaa kablaa ya kubondaabonda line yako ,, usisahau Ku transfer M-pesa balance yako

Usijee jikutaa unarudii kuwalaumu kuhusuu hilo

Pole sana kiongozi..
 

Kama ulikua hujui Lowasa anahisa vodacom ungemchagua angeboresha kama mda wa kampen bt kwa ss ukijumlisha na magufuli kubana kodi kulia is innevitable
 
Nasikia Halotel... ?

Bado niko Vodacom pia natafuta Option nzuri.
 
Vodacom ovyo sana kiukwel,wanapandisha kiholela gharama za vifurushi,me mwenyew wamenishinda
 
Karibu HALOTEL (Vietel); hatutakuangusha(JPM)


 
Kwa Internet nenda halotel wako vizuri ,kwa sms na dk karibu airtel.kwa sms,mb na dk za kumwaga karib smart tz.
 
Kwa Internet nenda halotel wako vizuri ,kwa sms na dk karibu airtel.kwa sms,mb na dk za kumwaga karib smart tz.


Hlotel, mtandao wao unashika sehemu kubwa Tanzania? Nauliza hivi kwa kuwa ninasafiri sana. Wako mikoa ipi na ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…