Tangu vodacom walipoingia Tanzania, nilikuwa mteja wao na nimetumia laini zao kwa mawasiliano ya simu na internet. Lakini sasa hapana. Sitaki kusikia dude linaloitwa vodacom. Wameamua kuwakomoa wateja kwa kujua hakuna serikali inayojali vilio vya Watanzania wanaoibiwa kwa nji aza mitandao ya simu.
Ninahisi vodacom inamilikiwa na vigogo wa serikali na ndiyo maana pamoja na malalamiko mengi ya wateja bado wameenedeleza ubabe wa kuwakomoa kwa lugha mbali mbali. Hapana sasa neogh is enough. Mimi na watu wangu tunaondoka voda rasm for ever.
Sasa viburi, wizi na dhurma za kampuni ya Vodacom haivumiliki tena. Hapana sasa basi. Tumepiga kelele tukidhani watajirekebisha. Kumbe tumechochea ukatili ya firauni!. Enough is enough.
Ninaomba msaada wenu Wazalendo. Wale wasiokuwa na ufisadi kama mimi. Wenye taarifa sahihi nisaidieni na wahitaji wenzangu.
KAMPUNI GANI YA MAWASILIANO HAPA TANZANIA AMBAYO INATOA HUDUMA BORA ZA INTERNET KWA REASONABLE PRICES NA RELIBLE SERVICES? WENYE CUSTOMER CARE NZURI NA WANAOJALI WATEJA? NINAOMBENI TU MNIAMBIE NA UZURI WAO, NINAKWENDA KUCHUKUA LAINI NA KUBONDA BONDA HUU UJINGA NA VIBURI VYA VODACOM.
Natanguliza shukrani.