muoga wa jf
Senior Member
- Jun 27, 2016
- 198
- 224
Usiogope mkuu toa ukweli wa moyoni... 😱 😕
Sijakupata mkuu nini kimeongezekaHizi siredi za kuchunuku watu mbona kama zimeongezeka hivi...!!
Kuna jambo gani nyuma ya pazia?
Jamanimi namchukia troll jf juzi kapigwa ban kule kwenye jukwaa letu la siasa yaani mpaka leo nafuraha..... jamaa kaisha nisababishia hasara sana kutokana na mada zake, i wish angepigwa hata ban ya mwaka mzima
Nani tena uyo
True thatNawapenda wote simchukii yeyote humu, why umchukie mtu usiemjua au hata kumfaham? Inashangaza
Madame S
Umri ni tatizo hapo uhanga umemzidi mwanzisha sredNawapenda wote simchukii yeyote humu, why umchukie mtu usiemjua au hata kumfaham? Inashangaza
Madame S
Anajifanyaga mtekaji na mpiga ban wenziemi namchukia troll jf juzi kapigwa ban kule kwenye jukwaa letu la siasa yaani mpaka leo nafuraha..... jamaa kaisha nisababishia hasara sana kutokana na mada zake, i wish angepigwa hata ban ya mwaka mzima