Nani JF unampenda na haumpendi toa sababu

Nani JF unampenda na haumpendi toa sababu

muoga wa jf

Senior Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
198
Reaction score
224
Habari wakuu...
Katika maisha yangu ya jf mtu nimekuwa nikimpenda sana wa kwanza kabisa ni joseverist(sijui nimekosea) napenda kumhta muuza mitumba wa boma

Mtu ambaye nimekuwa simpend jamaa mmja anajiiita USHIMEN..kuna siku moja alikuwa analeta busara kwenye mambo yasiyomhusu simpendi hadi leo..

Hivi mwana jf gani unampenda na nani umpendi toa SABABU??
 
mi namchukia troll jf juzi kapigwa ban kule kwenye jukwaa letu la siasa yaani mpaka leo nafuraha..... jamaa kaisha nisababishia hasara sana kutokana na mada zake, i wish angepigwa hata ban ya mwaka mzima
Jamani

Madame S
 
Anajifanyaga mtekaji na mpiga ban wenzie
 
Back
Top Bottom