Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 897
New member,welcome
Atakujia na I'd mpyami namchukia troll jf juzi kapigwa ban kule kwenye jukwaa letu la siasa yaani mpaka leo nafuraha..... jamaa kaisha nisababishia hasara sana kutokana na mada zake, i wish angepigwa hata ban ya mwaka mzima
Atakujia na I'd mpya
mi namchukia troll jf juzi kapigwa ban kule kwenye jukwaa letu la siasa yaani mpaka leo nafuraha..... jamaa kaisha nisababishia hasara sana kutokana na mada zake, i wish angepigwa hata ban ya mwaka mzima
safi saana maana hapa dunian i kuna watu raha yao ni kuwakera wenzaojaman wewe upo km MBITI HAPA! hii ni mar ya 2 anakula ban karibu kribu binafs nafarijika!
Hivi sred ndio kitu gani? Acheni kujitungia maneno yenu tumieni mliyoyakuta hahaha sred? Sred ndio nini sasa?Umri ni tatizo hapo uhanga umemzidi mwanzisha sred
[emoji23] ila adui yako muombee mema huenda akajifunza.hahaha i know that, ila najua kaumia saana yeye hua anafurahi kuwasababishia ban wenzake alikua hajui kua kila muosha nae huoshwa.
safi saana maana hapa dunian i kuna watu raha yao ni kuwakera wenzao
Mkuu mbona hilo neno tayari limechukua nafasi yake humu jf.Hivi sred ndio kitu gani? Acheni kujitungia maneno yenu tumieni mliyoyakuta hahaha sred? Sred ndio nini sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachukia ile ID inayotumiwa na le mutuz inaitwa Cocochanel ambayo kila kitu ni makonda oyeee
Lexus Mayai
True thatUnamchukiaje mtu haumjui jamaan au unachukiaje avatar fake na id fake sina ninayemchukia ukinichukia utajua mwenyewe na dhambi zako