Nani JF unampenda na haumpendi toa sababu

Nani JF unampenda na haumpendi toa sababu

mi namchukia troll jf juzi kapigwa ban kule kwenye jukwaa letu la siasa yaani mpaka leo nafuraha..... jamaa kaisha nisababishia hasara sana kutokana na mada zake, i wish angepigwa hata ban ya mwaka mzima
Atakujia na I'd mpya
 
jaman wewe upo km MBITI HAPA! hii ni mar ya 2 anakula ban karibu kribu binafs nafarijika!
 
hahaha i know that, ila najua kaumia saana yeye hua anafurahi kuwasababishia ban wenzake alikua hajui kua kila muosha nae huoshwa.
[emoji23] ila adui yako muombee mema huenda akajifunza.
 
Nachukia ile ID inayotumiwa na le mutuz inaitwa Cocochanel ambayo kila kitu ni makonda oyeee

Lexus Mayai

Eeeeh endelea kuichukia kunijazia baraka Mimi na Le Mutuz pia.

Ukishindwa kumudu jipige vibao vya usoni.. hata kutag umekuwa muoga... eeeh jicheke
 
Mabinti wote humu nawapenda na nishawakopa kupitia #Chaputa#
Mimi najua sipendwi tatizo navuta sana bangi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Duh mpaka sasa hakuna anaenipenda wala wa kunichukia

Sent from myself
 
Dah.....kumchukia mtu ni ghali kuliko kumpenda..... Unajipunguzia siku za kuishi kwa hiyari.....mie niko pisi tu[emoji41]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Back
Top Bottom