Nani Kachora.........?

Nani Kachora.........?

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Artinzu Mbeya
 
MTOA MAADA EMBE TENGUA KAULI YAKO UNATUABISHA WALIMU WA SAYANSI
 
lazima mkuu aitwe chemba maana hali itofauti
 
Mwalimu mgeni aliingia darasani kwa mara ya kwanza na kuchora moyo ubaoni. Kwa vile hakuwa mchoraji mzuri ule moyo ukaonekana ovyo tu.
Kwa kujiamini akauliza wanafunzi nimechora nini?
Mwanafunzi 1.... makalio
Mwanafunzi 2..... umechora makalio mwalimu.
mwanafunzi 3. hayo ni makalio kabisa

Mwalimu kwa hasira akaenda kumuita mkuu wa shule kwa madai ya wanafunzi kufanya mzaha darasani.

Mkuu Wa Shule; kwa nini mnamfanyia mwalimu mzaha?
Wanafunzi; hatujafanya mzaha.

Mkuu wa Shule: Kama hamfanyi mzaha nani kachora makalio ubaoni?
"...hiyo shule lazm itakuwa mbagala tu"
 
Back
Top Bottom