mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
S
Simba itakapocheza na Galaxy ndo mtajua ilinufaika kwa kufungwa na Mazembe!!
Simba imefaidika kwa kufahamu udhaifu wake ili wasiyarudie kwenye mechi ya kimashindano. Lakini utopolo hawajafaidika maana wametupwa nje ya mashindano!! Walishindwa kufaidika kwa kufungwa na Kapumbu! Baada ya Kapumbu kuwafanya kitu mbaya, ilibidi wajifunze makosa yao na wabadilike!! Hawakujifunza!! Wakaruhusu mambo ya Kapumbu kurudiwa na Wanageria!!Wapenda Michezo wote TUACHE Ushabiki Tuzungumze Ukweli juu ya Matokeo ya Michezo miwili iliyochezwa jana na Vilabu Vyetu Vikubwa kabisa Nchini SIMBA na YANGA.
YANGA ilicheza na RIVERS ya NIGERIA huko Nigeria na Matokeo ni YANGA kufungwa jumla ya GOLI 2-0.
Na SIMBA alicheza na TP MAZEMBE ya CONGO na Kufungwa Bao 1-0.
Kwa Kifupi Timu zote Zimefungwa.
SWALI
Je Kwa MATOKEO yale Je Timu gani IMEFAIDIKA Sana kwa KUFUNGWA kati ya SIMBA na YANGA?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Simba itakapocheza na Galaxy ndo mtajua ilinufaika kwa kufungwa na Mazembe!!