Nani kafaidika kwa kufungwa jana kati ya Simba na Yanga?

S Simba imefaidika kwa kufahamu udhaifu wake ili wasiyarudie kwenye mechi ya kimashindano. Lakini utopolo hawajafaidika maana wametupwa nje ya mashindano!! Walishindwa kufaidika kwa kufungwa na Kapumbu! Baada ya Kapumbu kuwafanya kitu mbaya, ilibidi wajifunze makosa yao na wabadilike!! Hawakujifunza!! Wakaruhusu mambo ya Kapumbu kurudiwa na Wanageria!!
Simba itakapocheza na Galaxy ndo mtajua ilinufaika kwa kufungwa na Mazembe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…