Nani kafumaniwa

baada ya kuona live je moyo wako unakwambia nini
kama unaona unahitaji kumsamehe fanya hivyo/la unakwambia
temana nae fanya hivyo baadae isijekujutia
 
Reactions: BAK

Good advice umetoa sista.... Follow ur heart kwanza then mengine yatafuata.
 
Msamehe bwana! ila mi nauza MAJENEZA ukianza kukohoa tu ni PM,Mungu anakupenda mwenyewe hujipendi wenzako kibao hawajabahatika kuona we unaonyeshwa unajitia upofu.
 
Samehe mara sabini msonge mbele na maisha. Ukiamua kumuacha utaacha wangapi?

Nyani, ungekuwa ni wewe ungesamehe kweli?
Maana haya maandiko wakati fulani ni rahisi kuya-apply kwa watu wengine tuu. Vipi kama akisamehe Ukimwi je, nao utamsamehe?

 
Hakuna Mama Watoto Mtarajiwa hapo. Huyo ana watu wa aina yake anaotoka na ataoendelea kutoka nao kama ulivyojionea. Hata ukimweka ndani utaendela kuibiwa. Tafakari, Chukua Hatua.

Jiweke pembeni ndugu yangu kama bado hajakuambukiza ukimwi, kusema wale ni kaka zake sio kitu ila kwanini alikudanganya tayari ameshalala. Huyo hafai kuwa mtarajiwa labda ampokee Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake nawe pia. Vinginevyo nakushauri jitoe.
 
Huruma za mshumaa kutoa mwanga huku wenyewe unaungua!. Huruma zako hapo ni biashara ya Mshumaa. Mapenzi sio kabila kwamba ukizaliwanayo utakufanayo! Siasa mbali na mapenzi mbali.
Hapo mkubwa unapaka rangi upepo.
 
jaman ww aendelee kumlipia????? walahiii usiendelee im sure ulifanya ivyo kwa ajil ya viliinterest vyako ambavyo mwenzio anavichukulia poa wala mkache kwa kila ki2 uyoo. kuna wanawake wa kusaidiwa bt sio huyuu kbs.
hiki ni kidemu cha mizinga 2.
Kuna ubaya gani akimsaidia hiyo ada kama uwezo anao? Kulipa kwa kujitutumua wakati uwezo haupo ndio mbaya.
 
Kakutakia usiku mwema mara unamuona club na manjonjo kibao, Mungu kakuonyesha njia mapema, achana nae tena hata usimwambie kwamba umemuacha kaa kimya tu manake kunyamaza kwako tu ni jibu tosha kwakwe
 
Nyani, ungekuwa ni wewe ungesamehe kweli?
Maana haya maandiko wakati fulani ni rahisi kuya-apply kwa watu wengine tuu. Vipi kama akisamehe Ukimwi je, nao utamsamehe?


Unatakiwa kusamehe mara sabini bana.
 
Piga chini huyo malaya huwezi kufika nae mbali,we unamsomesha na kumlipia nyumba ndo mana anajiweka karibu nawe,akipata wa kumnunulia prado na kumpa nyumba atakupiga chini,bro take care kusoma hujui hata picture hutambui.
 
Brother Mungu anakupenda sana kakuonyesha mapema so kazi kwako uamue moja mapema kabla hayajakukuta makubwa zaidi ya hayo
 
Umejionea kwa macho yako mwenyewe! Moyo wako unasemaje?
Mimi ningekuwa wewe ningefurahi maana nimejionea mwenyewe!
Pamoja na kwamba unampenda na kumhudumia ni bora umuache kabla hajankuumiza zaidi na kukuambukiza magonjwa. Hakufai
mkuu wewe ndio umetoa ushauri mzuri sana,mtoa mada chu
kua ushauri wa hipines win, na utawin!
 
Dalili ya mvua ni mawingu, endelea tu kisha utaona habari yake. Mimi nashauri mpotezee, waadilifu wapo wengi tu, fumbua macho yako vizuri.
 
Usikilize moyo wako,kwani wewe ndio unaeweza kutoa msamaha,na ndio ulieona kwamacho yako vitendo alivyovifanya, kama umeona anastahili kusamehewa sawa ....
 
1. Si vema kumfuatiliafuatlia mwanamke nyendo zake hata kama unamgharamia.
2. Endelea kumlipia karo na chumba .
3.Wazo la kumuacha au la hilo hashauriwi mtu,ulipomtongoza hukutuuliza.
 
Hiyo uliyoexperience inaitwa AMAZING GRACE. Ila kabla sijakushauri Kuna maswali mengi ya kujiuliza hapa, kwa nini hakukuambia ukweli kuwa atatoka na kaka zake tena kapub kajirani na home? Kwa nini adanganye amelala? Je ni mara ngapi amedanganya amelala kumbe yuko mtaani anaruka majoka? Je baada ya kuona yote hayo wazo la kwanza lilikuwa nini? Je unadhani ukimsamehe utaweza muamini au ndo kuanza kuhaha kumchunga? Na je ukimuacha utahimili absence yake? Na je unapomlipia ada, house rent, hana kwao? And what is she doing 4 living? Majibu ya hvo vimaswali hapo juu vitakufanya uamue kwa usahihi kwani li dilema ulilopo ni noumer! Ila by puting myself on ur shuz, ningembwaga, i can imagne msg tu natembeza talaka sembuse live? Mwee!
Ngashtuka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…