Nani kafunika, nani kachemka kwenye remix ya Bedroom

Itakusaidia nini maishani mwako?
 
Kiukweli ni remix mbovu
ukiachana na ukali wa wasanii waliomo mule ndani ni msanii mmoja tu alliyefanya vizuri
in short ngoma imekuwa mbovu pamoja na bagia dady kufanya vyema
 
Angetoa video ya Rhumba au Nakupenda Malaika zingempromoti kimataifa na mziki wake ungesafiri nchi nyingi ila hii RMX naona imeharibu uzuri wa OG.
 
Rosalee kafanya poa japo mi namskia ‘Minaj’ zaidi, Mayonaise kachemka machorous mengi.
 
1.Baghdad
2. Darasa
3. Salmin swaggz
4. Billnass
5. Rosa
hao wapuuzi waliobaki wamezingua.
sijui nani alimpa crown ya u young king huyo clown mbuzi. Verse nzima hakuna punchline hata moja m.mae!
 
Kiukweli ni remix mbovu
ukiachana na ukali wa wasanii waliomo mule ndani ni msanii mmoja tu alliyefanya vizuri
in short ngoma imekuwa mbovu pamoja na bagia dady kufanya vyema
So negative b@ch
Unaweza tazama moto ukajizima
 
Binafsi naona Darasa ndiye kafanya poa. Yaani modern hip hop ndiyo iko vile kwenye ile verse nilifikiri Country Boy na Young Lunya wangemletea upinzani badala yake imekua rahisi kujua kua Darasa ni mkare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…