Nani kaimba huu wimbo?

Nani kaimba huu wimbo?

Sunguraaa

Member
Joined
Mar 8, 2016
Posts
66
Reaction score
60
Kwenye hii clip kuna wimbo unapigwa hapo anayefahamu msanii na jina la wimbo atusaidie tafadhali.
 
Ingia tiktok search hyo acount afu umuuliZe au uangalie unawez kukuta amewek jina la wimbo mkurugenzi
 
Ingia tiktok search hyo acount afu umuuliZe au uangalie unawez kukuta amewek jina la wimbo mkurugenzi
Asante. Nimefuatilia, naye kaupokea kipande kama ulivyo[emoji23] Shazam imeshindwa. Nimeiachia www jibu litajitokeza, yupo anayeufahamu.
 
Back
Top Bottom