Sio sauti ya janjaro hyo ila ni saut ya mtu wa chuga uko ukoSauti ya janjaro
Tumia google voiceAsante. Nimefuatilia, naye kaupokea kipande kama ulivyo[emoji23] Shazam imeshindwa. Nimeiachia www jibu litajitokeza, yupo anayeufahamu.
SioSauti ya Janjaro
Uyo msanii ni underground wa chuga hukoAsante. Nimefuatilia, naye kaupokea kipande kama ulivyo[emoji23] Shazam imeshindwa. Nimeiachia www jibu litajitokeza, yupo anayeufahamu.