JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Hii kampuni iliwahi kuhudumu kwenye mradi wa Mwendokasi kipindi fulani na baadae kupewa kazi hiyo Suma JKT. Sasa inaonekana kampuni hiyo imerudi tena ulingoni.
1. Je, nini kilifanya iondolewe mwanzo na sasa kurudishwa?
2. Ina maslahi gani na kampuni ya UDART? Au mmiliki/wamiliki wake ni nani?
3. Jana Jumanne gari yao ilikuwa inatumiwa na askari wa manispaa ya ilala wale wanaokamata machinga, je, manispaa imetoa tenda kufanya kazi hiyo!?