Kwani kuna tatizo gani kuwapa tenda kampuni binafsi?? hili ni soko huria na soko huria huongeza ubora wa bidhaa/huduma na kuleta ushindi kwa mlaji au mtumiaji wa hiyo huduma.Ongeza na hili wazo.
Labda kuna namna tenda za namna fulani zinarudishwa kwenye jamii..
Ofisi flani za serikali, 2020 walitoa tenda ya usafi (usafi) kutoka private kwenda Suma jkt, mwaka huu katikati wakairudisha kwenye kampuni binafsi.
Mjini mipangoHii kampuni iliwahi kuhudumu kwenye mradi wa Mwendokasi kipindi fulani na baadae kupewa kazi hiyo Suma JKT. Sasa inaonekana kampuni hiyo imerudi tena ulingoni.
1. Je, nini kilifanya iondolewe mwanzo na sasa kurudishwa?
2. Ina maslahi gani na kampuni ya UDART? Au mmiliki/wamiliki wake ni nani?
3. Jana Jumanne gari yao ilikuwa inatumiwa na askari wa manispaa ya ilala wale wanaokamata machinga, je, manispaa imetoa tenda kufanya kazi hiyo!?
Sasa kama Suma JKT walishashinda tender mbona wameondolewa?Kwani kuna tatizo gani kuwapa tenda kampuni binafsi?? hili ni soko huria na soko huria huongeza ubora wa bidhaa/huduma na kuleta ushindi kwa mlaji au mtumiaji wa hiyo huduma.
Acheni kukalili mambo aliyokuwa mabaya aliyoyafanya Mwendazake kwa kuua sector binafsi!! acheni SUMA JKT wapambane kwenye tenda mbalimbali kama wanavyofanya wengine.
SUMA JKT walikuwa wanabebwa na Mwendazake hawana lolote. Waache wapambanishwe na watoa huduma wengine!Sasa kama Suma JKT walishashinda tender mbona wameondolewa?
Natamani nikujibu sambamba na ulivyoandika ila kwasababu mimi sio kama wewe, nitakushauri usome kwa akili (kama unayo) nilichoandika. Huu uvumilivu wangu unaukomo.Kwani kuna tatizo gani kuwapa tenda kampuni binafsi?? hili ni soko huria na soko huria huongeza ubora wa bidhaa/huduma na kuleta ushindi kwa mlaji au mtumiaji wa hiyo huduma.
Acheni kukalili mambo aliyokuwa mabaya aliyoyafanya Mwendazake kwa kuua sector binafsi!! acheni SUMA JKT wapambane kwenye tenda mbalimbali kama wanavyofanya wengine.
Inabidi wapambane kurudisha fursa na tenda nyingi kwa ajili ya ustawi wa private sector.Ongeza na hili wazo.
Labda kuna namna tenda za namna fulani zinarudishwa kwenye jamii..
Ofisi flani za serikali, 2020 walitoa tenda ya usafi (usafi) kutoka private kwenda Suma jkt, mwaka huu katikati wakairudisha kwenye kampuni binafsi.
Hao ndio wanaomshangilia mama humu au huelewi kijanaš
Praise team ndio vibaraka wa wenye hizo kampuni!
Sawa kabisa!!Inabidi wapambane kurudisha fursa na tenda nyingi kwa ajili ya ustawi wa private sector.
Hii itashawishi vijana wengi kujiongeza....
Kabisa.Inabidi wapambane kurudisha fursa na tenda nyingi kwa ajili ya ustawi wa private sector.
Hii itashawishi vijana wengi kujiongeza....
Mungu alipambana akatutoa kule... Tulikuwa pabaya sana! Sasa ni jukumu letu kulazimisha ustawi wa private sector.Sawa kabisa!!
Hapo awali; Usafi SUMA JKT, Ulinzi SUMA JKT, Ujenzi SUMA JKT!!
Why kila kitu ilikuwa SUMA JKT??
We need changes for the well being of our economy.
Mama simpingi private sector wala siipingi ila unyonyaji ndio naupinga! Fairness haiko kwa mtu anaeitwa mfanyabiasharaPrivate sector ina faida hata kwako..
Magufuli keshakufa ..
Kama alikuwa na Sera mbovu kama hizi wacha zibadilishwe..
Wala usione sifa kumpinga Mama kwa kila kitu..
Mzee wa msoga anapangua.Sasa kama Suma JKT walishashinda tender mbona wameondolewa?
NakubališMzee wa msoga anapangua.
Enzi zile za akina ESCROW, na nyinginezo zinarudi kama kawaNakubališ