Nani Kairudisha CT Security, UDART (MwendoKasi)?

Ongeza na hili wazo.
Labda kuna namna tenda za namna fulani zinarudishwa kwenye jamii..
Ofisi flani za serikali, 2020 walitoa tenda ya usafi (usafi) kutoka private kwenda Suma jkt, mwaka huu katikati wakairudisha kwenye kampuni binafsi.
Mimi napinga kwa nguvu zote wazo la kutumia taasisi za serikali (SUMA JKT) kwa kazi ambazo private sekta wanatakiwa kuzifanya. Hivi mnataka private sekta watanzania wengine waishije wakati daily mnasema watu wajiajiri?? Yaani mnapora wenzenu hata kazi za kufagia maofisi ili wakale wapi nyie??
 
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Angalau wewe umeeleza hoja yako kistaarabu, ila nasikitika kua hujaelewa ulichokiquote. Katika kukujibu nitakurejesha usome post #8 kisha urudie kusoma post uliyoiquote, soma kwa kuelewa, usisome kujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…