Nani kaishauri Simba kucheza usiku, waarabu aliwafunga mchana jua kali dar.. usiku kushinda ngumu

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau..

Naona mikia wamesahau point zao sita wamezipataje ?

mechi za away zote zimechezwa usiku mikia wakafungwa zote..

alivyo mpuuzi mechi yake na vita kaiweka tena usiku..

amesahau msaada wa jua la Dar kwa wageni linamlinda sana maana wamezoea kucheza usiku

kwa huo muda natabiri matokeo mikia 0 - As vita 5
 
Umeshwahi kuona swala anamshauri Chui?
.
Wale sio waarabu na hawakai nchi yenye baridi wanaishi Kinshasa mazingira yao na Bongo yanafanana 98% hawa hawaathiriwi na hali ya hewa ya joto.
 
Kwani wacongo nao jua lingewaathiri? Hizi nadharia zinaukakasi. Au simba wanatumia miale ya jua kama Jadu wa Rotic Roshan?.

Barafu la moto

simba bila jua la dar.. asingepata point hata moja... Manara mwenyewe mikwara yake ya kwa mchina analingia jua tu la dar
 
We zuzu ratiba wanapanga CUF mechi zichezwe usiku,simba wakicheza saa moja kule Misri pia mpira unachezwa saa moja ili kuepuka upangaji matokeo.

Sent using Jamii Forums mobile app

ratiba za mwanzo walipanga Caf pia ? kundi zima la simba.. mechi zimechezwa mchana ni 2 tu za simba taifa..

wote waliobaki walicheza usiku mechi zao zote.. vita, soura, al ahly hakuna mechi waliyocheza mchana nje ya walivyokuja Tanzania
 
Ratiba ya CAF imeamua hivyo kuepuka upangaji wa matokeo, lakini kumbuka wacongo siyo waarabu hata mechi ichezwe uwanja wa kinesi watamudu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Ni Ratiba ya CAF Mechi Za Mwisho Timu Za kundi Moja kucheza Pamoja kuepusha kupanga Matokeo japo kwa kundi la Simba Hata zingecheza Muda tofauti Hakuna kupanga Matokeo
Safi! Ufafanuzi mzuri Sana huu
 
As vita hata muwapeleke kucheza. Kwenye mbigiri watawatugūa tu

Kila laķheri As Vita
Wewe tumeisha kuzoea, rejea maneno yako hasi yote dhidi ya simba huwa yanakuaje😂😂😂 Toa na hiyo Avatar yako ina nguo nyekundu
 
ratiba za mwanzo walipanga Caf pia ? kundi zima la simba.. mechi zimechezwa mchana ni 2 tu za simba taifa..

wote waliobaki walicheza usiku mechi zao zote.. vita, soura, al ahly hakuna mechi waliyocheza mchana nje ya walivyokuja Tanzania
mechi za mwisho hujiamulii.. siku 1 muda mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazma tukate umeme wa Congo wajiandae tu psychology
 
Wewe tumeisha kuzoea, rejea maneno yako hasi yote dhidi ya simba huwa yanakuaje[emoji23][emoji23][emoji23] Toa na hiyo Avatar yako ina nguo nyekundu
Tulia mpigwe watu wàmekuja ña vumbi la congo kwa jína lingine cha kupaka maalum kwa kesho
 
Jua sio inshu kwa wacongo,labda uwanja umwagwe mbigili za kutosha na wacheze peku uwanjani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yanga mnahangaika sàna,kumbukeni kabla ya mech ya saa 1 kuna mechi saa 10 dhid ya wanaparuhengo ambayo kama mmeisahau hiv.
Mwisho wa siku mnakosa matokeo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…