Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Hatujapigwa tano Kwa mkapa, umeanza kunichosha umeshasahau kipigo nilichokupa Via kagere?Mkono wa mtoto na ndele viliwasàidiaje mlivýopigwa goli 5?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujapigwa tano Kwa mkapa, umeanza kunichosha umeshasahau kipigo nilichokupa Via kagere?Mkono wa mtoto na ndele viliwasàidiaje mlivýopigwa goli 5?
Nakuona mwenyekiti wa kamati ya roho mbayaAs vita hata muwapeleke kucheza. Kwenye mbigiri watawatugūa tu
Kila laķheri As Vita
Hata mkicheza alfajiri.......Mikia mtaishia kushinda njaa tuhabari wadau..
Naona mikia wamesahau point zao sita wamezipataje ?
mechi za away zote zimechezwa usiku mikia wakafungwa zote..
alivyo mpuuzi mechi yake na vita kaiweka tena usiku..
amesahau msaada wa jua la Dar kwa wageni linamlinda sana maana wamezoea kucheza usiku
kwa huo muda natabiri matokeo mikia 0 - As vita 5
Uwe unafanya tafiti kwanza ndo unapost we jamaa.habari wadau..
Naona mikia wamesahau point zao sita wamezipataje ?
mechi za away zote zimechezwa usiku mikia wakafungwa zote..
alivyo mpuuzi mechi yake na vita kaiweka tena usiku..
amesahau msaada wa jua la Dar kwa wageni linamlinda sana maana wamezoea kucheza usiku
kwa huo muda natabiri matokeo mikia 0 - As vita 5
Duh CUF! Yupi sasa mpangaji Lipumba au Maalim SeifWe zuzu ratiba wanapanga CUF mechi zichezwe usiku,simba wakicheza saa moja kule Misri pia mpira unachezwa saa moja ili kuepuka upangaji matokeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ratiba hapangi simba,game zote zinachezwa wakati mmoja ili kuepusha upangaji wa matokeo.habari wadau..
Naona mikia wamesahau point zao sita wamezipataje ?
mechi za away zote zimechezwa usiku mikia wakafungwa zote..
alivyo mpuuzi mechi yake na vita kaiweka tena usiku..
amesahau msaada wa jua la Dar kwa wageni linamlinda sana maana wamezoea kucheza usiku
kwa huo muda natabiri matokeo mikia 0 - As vita 5
Nani kasema?habari wadau..

Kiherehere kimekatwa.Mlikuwa mna mechi Iringa badala ya kutilia nguvu mechi yenu mnapiga chabo mechi za wengine. Haya sasa mke mkubwa kapigwa 2 wewe mke mdogo umefaidika nini?Best of Luck to AS VITA CLUB
GO VITA GO
HATA MPANGE MECHI SAA NANE USIKU KICHAPO KWENU SIMBA KIPO PALEPALE
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
dah! yametimia, mkuu unaweza sana kubashiri.Yanga mnahangaika sàna,kumbukeni kabla ya mech ya saa 1 kuna mechi saa 10 dhid ya wanaparuhengo ambayo kama mmeisahau hiv.
Mwisho wa siku mnakosa matokeo yote.
TULIZA MSHONO DOGO, BADO LE TUPWISA MAZEMBE WANAKUJA...NA HAPO HAMNA CHA KUKUSANYA POINTKiherehere kimekatwa.Mlikuwa mna mechi Iringa badala ya kutilia nguvu mechi yenu mnapiga chabo mechi za wengine. Haya sasa mke mkubwa kapigwa 2 wewe mke mdogo umefaidika nini?
Next time fikiri kabla ya kupoteza muda kwa kuandika ujinga. Popoma. Pukachaka .habari wadau..
Naona mikia wamesahau point zao sita wamezipataje ?
mechi za away zote zimechezwa usiku mikia wakafungwa zote..
alivyo mpuuzi mechi yake na vita kaiweka tena usiku..
amesahau msaada wa jua la Dar kwa wageni linamlinda sana maana wamezoea kucheza usiku
kwa huo muda natabiri matokeo mikia 0 - As vita 5
Dah! Muda unakwenda kasi sana. Kwasasa Lipumba ndo mwenye nyumba na Maalim Seif kaenda kupanga ACT.