Nani kaishauri Simba kucheza usiku, waarabu aliwafunga mchana jua kali dar.. usiku kushinda ngumu

Naona mnawapamba sana vita club. Ila mjue vita ni bora ikiwa kwao ikiwa ugenini ni under dogtu. Mechi zote za ugenini imepoteza.
 
habari wadau..

Naona mikia wamesahau point zao sita wamezipataje ?

mechi za away zote zimechezwa usiku mikia wakafungwa zote..

alivyo mpuuzi mechi yake na vita kaiweka tena usiku..

amesahau msaada wa jua la Dar kwa wageni linamlinda sana maana wamezoea kucheza usiku

kwa huo muda natabiri matokeo mikia 0 - As vita 5
Hata mkicheza alfajiri.......Mikia mtaishia kushinda njaa tu
 
habari wadau..

Naona mikia wamesahau point zao sita wamezipataje ?

mechi za away zote zimechezwa usiku mikia wakafungwa zote..

alivyo mpuuzi mechi yake na vita kaiweka tena usiku..

amesahau msaada wa jua la Dar kwa wageni linamlinda sana maana wamezoea kucheza usiku

kwa huo muda natabiri matokeo mikia 0 - As vita 5
Uwe unafanya tafiti kwanza ndo unapost we jamaa.

Mechi za mwisho katika makundi sio caf tu ata uefa pia fifa world cup huwa zinachezwa muda mmoja kuepusha upangaji wa matokeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wadau..

Naona mikia wamesahau point zao sita wamezipataje ?

mechi za away zote zimechezwa usiku mikia wakafungwa zote..

alivyo mpuuzi mechi yake na vita kaiweka tena usiku..

amesahau msaada wa jua la Dar kwa wageni linamlinda sana maana wamezoea kucheza usiku

kwa huo muda natabiri matokeo mikia 0 - As vita 5
Ratiba hapangi simba,game zote zinachezwa wakati mmoja ili kuepusha upangaji wa matokeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wadau..

Naona mikia wamesahau point zao sita wamezipataje ?

mechi za away zote zimechezwa usiku mikia wakafungwa zote..

alivyo mpuuzi mechi yake na vita kaiweka tena usiku..

amesahau msaada wa jua la Dar kwa wageni linamlinda sana maana wamezoea kucheza usiku

kwa huo muda natabiri matokeo mikia 0 - As vita 5
Nani kasema?
 
Best of Luck to AS VITA CLUB

GO VITA GO

HATA MPANGE MECHI SAA NANE USIKU KICHAPO KWENU SIMBA KIPO PALEPALE

Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Kiherehere kimekatwa.Mlikuwa mna mechi Iringa badala ya kutilia nguvu mechi yenu mnapiga chabo mechi za wengine. Haya sasa mke mkubwa kapigwa 2 wewe mke mdogo umefaidika nini?
 
TULIZA MSHONO DOGO, BADO LE TUPWISA MAZEMBE WANAKUJA...NA HAPO HAMNA CHA KUKUSANYA POINT
 
Vinuka mkojo tumewazoea. Mna mechi na Alliance isije ikajirudia ya Kamwene.
Ujinga ulioje una njaa na tabu kibao .Badala ya kuhangaikia matatizo yako umepanda geti kuchungilia jirani anafanya nini.
Mtabadilisha sana timu.
 
habari wadau..

Naona mikia wamesahau point zao sita wamezipataje ?

mechi za away zote zimechezwa usiku mikia wakafungwa zote..

alivyo mpuuzi mechi yake na vita kaiweka tena usiku..

amesahau msaada wa jua la Dar kwa wageni linamlinda sana maana wamezoea kucheza usiku

kwa huo muda natabiri matokeo mikia 0 - As vita 5
Next time fikiri kabla ya kupoteza muda kwa kuandika ujinga. Popoma. Pukachaka .
 
Back
Top Bottom