Nani kakosekana kwenye kikosi hiki?

Mtoe Roy Kean nafasi yake achukue Tony Kroos.Uyo Pepe hapo akae benchi gepu lake acheze Ramos,alafu kule kwa Ramos asimame Philip Lahm.
Diego Costa atanisamehe namtupa benchi nafasi yake anasimama DelPiero.nafasi ya Godin nampumzisha anacheza R.Carlos.
 
Kama na Elhaj Diof naye hatawekwa kwenye orodha ya wachezaji wa akiba, basi hicho kikosi kitakuwa bado hakijatimia.
 
Labda hujaelewa, kikosi kilichotajwa ni cha wale wachezaji korofi/watata. Lahm na Kroos wana ukorofi gani?
 
Hicho ni kikosi cha watukutu pekee, hao unaowataja waingie sio watukutu wawapo uwanjani.
 
Kumtaja kwako Philip Lahm nadhani hujaelewa dhana ya hiki kikosi
 
Hujamuelewa mleta mada, angalia kwa makini hicho kikosi
 
Mkuu hujauelewa uzi.
 
UMEKURUPUKA MNOOOOOOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…