Nani kakukera zaidi mwaka jana 2017?

Nani kakukera zaidi mwaka jana 2017?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Nani kakukera zaidi mwaka ulioisha 2017 ?
  • 1. Your parents
  • 2. Ndalichako
  • 3. Vodacom
  • 4. Tigo
  • 5. Airtel
  • 5. Lizaboni
  • 6. Bus conductor
  • 7. Startimes
  • 8. Your boss @ work
  • 9. Husband
  • 10. Wife
  • 11. Boy friend
  • 12. Girl friend
  • 13.Dr Shika
  • 14. Simba na Tembo walioenda UDOM
  • 15. Mfanyakazi hewa
  • 16. Chelsea
  • 17. Man united
  • 18. Magufuli
  • 19. Majaliwa
  • 20. Admin
  • 21.E. Lowasa
  • 22. Suruhu
  • 23.wanafunzi hewa
  • 24.Mchepuko
  • 25.whatsapp
  • 26. Muhindi wa M BET
  • 27.Nape
  • 27.zuku
  • 28.clauds tv
  • 29.wasafi crue
  • 30.tanesco
Andika namba ya jbu sahihi plz⁠⁠⁠
 
Mkuu namba yangu mbona haimo? WASIOJULIKANA.
 
Mchepuko
Aisee mchepuko uliniuzu sna sna sna
Yaan nineutaarafu haswa kua asinipigie smu tena wala sms kwamba mm nimeshaowa sinaga udude wa dhahabu atafte tu wengine waendeleze gurudumu yye kakomaa balaa
Almanusura anigombanishe na mke wangu
 
Kuna mkaka yupo Humu alinikeraaa kinyamaa shetan mkubwa Wewe Tena ukuje hapa ujisomee nyauuuuuu Ww nakuchukia sanaaaa
 
Back
Top Bottom