Nani kama Jay-,Z??? Lol

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti lil nyoko
 
His latest album 4:4:4 kuna ngoma kama story of OJ na moonlight vijana wanatakiwa wasikilize na wajifunze
 
Hahaha boss ni ujuaji wa kizazi cha sasa hawawezi ku argue basi ili kuficha udhaifu wanakimbilia ku diss.
 
Chuki binafsi
 
True that. Jigga yuko overrated sana. Kwangu hata top five hayupo. Anafikia hata nusu ya uwezo wa Nas huyu? Kina Mos def, talib kweli, Common, Jadakiss n the likes.
Common anachana kizamani..Hana swagger..
Mimi namkubali Nas..
 
jigga ni hatari ila swali lako Nani kama jigga!? Tutakwambia wengi tu, mfano mzuri hasimu wake NAS escobar nikupe wapili EMIN3M kwa uchache.
 
jigga ni hatari ila swali lako Nani kama jigga!? Tutakwambia wengi tu, mfano mzuri hasimu wake NAS escobar nikupe wapili EMIN3M kwa uchache.
Kwa hiyo alitakiwa awe specific au!? M&M nadhani kamzidi Jay Z album/records sales kwa upande huo.
 
Kwa hiyo alitakiwa awe specific au!? M&M nadhani kamzidi Jay Z album/records sales kwa upande huo.
Yes, angesema tu jigga ni hatari, watu tusingetia doa, zaidi ya kuelezea uhatari wa jigga, ila anaposema nani kama jigga? Hilo ni swali inabidi tumjibu kwa kumuonesha zaidi ya jigga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…