Mtu yoyote anayejua haki zake na akiwa na ujasiri wa kutosha yuko tayari kuzipigania haki zake popote pale.
Haijalishi yeye ni maarufu, tajiri ama nani, bado atazipigania.
Hata Bill Gates mtu ambaye ni Tajiri sana, maarufu sana na mwenye mafanikio zaidi dunia mara kadhaa amekuwa akilalamia na kupigania haki za Company yake ya Microsoft popote pale zinapoguswa. Amefanya hayo kijamii na kisheria.
Hivyo Lady JD yuko sahihi kabisa katika hilo.
hayo maswali umewauliza sana lakini hawajibu which means hawajui walisemalo na mtu wanayemtetea hawamjui vizuri zaidi ya kumuona akiimba tu,ivi jamani radio ni moja hapa bongo mpaka moja isipopiga nyimbo zako uanze kusema maneno yoteee?oooh nikifa mimi wasije kunizika oooh mkiwaona mwapige mawe jamani kivipi kwani who are you by the way!!jd anapigania haki zipi? Na anapigania kwa minajili ipi? Kanyimwa na mtu hizo haki zake?
hayo maswali umewauliza sana lakini hawajibu which means hawajui walisemalo na mtu wanayemtetea hawamjui vizuri zaidi ya kumuona akiimba tu,ivi jamani radio ni moja hapa bongo mpaka moja isipopiga nyimbo zako uanze kusema maneno yoteee?oooh nikifa mimi wasije kunizika oooh mkiwaona mwapige mawe jamani kivipi kwani who are you by the way!!
show kwenye lecture theatre?poor fa.jiunge na wanamziki wenzako walioelimika kina jide,sugu,prof j. Acha kutumiwa kama toilet paper
hiyo picha mwanafatuma alikuwa hajaanza kushambulia jukwaa? Shame on, clouds wamekurostisha
Naomba nikumbushwe,mwanaefuei anafanya aina gani ya muziki vile,Utenzi,mashairi ghani ya kihindi au kichina ,nikumbusheni basi ambapo watu hawaitaji kumsindikiza katika sanaa yake?tulikuwa tunasikiliza ujumbe kwa makini na kistaarabu! Halafu jua kule ni mitaa ya wenyewe karibu na ikulu fujofujo ili iweje?
Mwana FA akiwa lecture room makumbusho jana usiku akielezea kuhusu rasimu ya katiba.
tulikuwa tunasikiliza ujumbe kwa makini na kistaarabu! Halafu jua kule ni mitaa ya wenyewe karibu na ikulu fujofujo ili iweje?
kuna picha humu ndani ndugu yangu.inaonyesha ukumbi ulikuwa ni chini na juu na kote watu walijaa.iyo picha imeposiwa na member kwenye hii thread.Halafu ndugu yangu ni kwamba ilikuwa burdani ya wastaarabu wavaa suti,sasa vituko na mayowe ulitaka yawe ya nini kwani pale mpirani.lazima ifike mahali tuwe wastaarabu halafu unavyosema haikufana si kweli,acheni wivu na huyo bibi yenu.
JD anapigania haki zipi? Na anapigania kwa minajili ipi? Kanyimwa na mtu hizo haki zake?
Ukweli utabaki palepale kwamba ,mwanaFA huwezi kumfananisha na huyo kanjanja!kwanza hana mkopo Bank kwamba akishindwa aje kufilisiwa,kama hamjui mali hizo alizonazo bibi si zake bado mpaka amalize madeni ya bank na hivi akaona nianzishe bifu ili nipate pesa za kurudisha Benk ukiangalia hiyo band ya machozi bendi ni kucha kugombana na wanamuziki wake kamuulizeni machozi yule kaka waliogombana naye,iyo mosi,pili ni kwamba mpaka sasa hakuna matamasha makubwa anayoalikwa si ya ndani au ya nje sasa akaona heee!ngoja nichanganye karatasi vizuri.haya sasa ngoja nianzishe kipindi cha diary ili walau nipatepate......camera mpaka chumbani......hee!niseme nina majini mahaba....watu watavutika tu kuangalia kweli amepatapata!....ushauri nafuu kwake arudi darasani kama BINAMU walau hata mambo yasipokwenda vizuri asije aibika,hakuna aibu kubwa kwa mtu ambaye alikuwa na majisifu akija filisika angalau mtu asiyejulikana inakuwaga kimyakimya! hawachelewi kutangaza mambo ya ajabu......that is secret I just wanted to share with you,that lady grandmother is totally broke!!!!
Mwana FA akiwa lecture room makumbusho jana usiku akielezea kuhusu rasimu ya katiba.
Naomba kuchangia mada.
Tangu jana usiku nimeona picha na nimesoma post mbalimbali ambazo kwa kiasi kikubwa zilikua zinaonyesha kwamba tamasha la Jide lilifana kuliko la MwanaFA. Sababu kubwa za tamasha la jide kufana inaonyesha ni idadi ya watu waliohudhuria na burudani.
Kwa upande wa Binamu, waliohudhuria walikua wachache na show ilipooza! Ni vigezo vipi unavyoangalia kumpa ushindi Binamu??
Hao mashabiki wastaarabu aliwachagua au walienda wenyewe? Kwa uelewa wangu wa muziki, hata uwe na masheikh na mapadri ukumbini, mziki ukiwa mzuri watakupa heshima yako kwa kuimba na wewe, kucheza, kukutuza au kupiga kelele ili mradi kuonyesha wanakuunga mkono.
Kama mashabiki wako watakaa kwenye viti mwanzo mpaka mwisho wa shoo, basi umeshindwa kuwapa kile walichokitegemea kwako, maana yake umefanya vibaya!
Unafkiri ni kweli mashabiki wa Binam walikua wastaarabu au ni kupooza kwa show ndo kuliwafanya wapooze?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sawa mkuuacha unafiki wewe, unaweza vp kulinganisha Jide na FA? Angalia Jide ana albam ngapi, utajiri kiasi gani? influence gani kwa jamii (balazi wa fistula). Pia ni mwanamuziki bora wa kike TZ kwa mwaka huu.
FA anatumiwa na hajui kama anajiharibia sana kwa hilo maana yeye pia ni msanii angesimama upande wa wasanii wenzake na sio kutumiwa kwa maslai ya watu, natabiri huu ndio mwisho wake utaona tu. Hana u-classic wowote maana jana ilikuwa ni kudhihirishiana kuwa upande upi una nguvu na mwisho wa siku Jide amewapotezelea mbali
MwanaFA kwa Jide bado sana na hata wangesimamisha THT yote wasingeweza kumfunika Jide
Mwana FA anaenda kupoteza fedha zake za tigo kwenye KAMPENI.Hakika Nimeamini mwana FA ni kiboko ya njia!kwamba anakubalika na watu wastaarabu na wenye hekima!ndo maana kama mliokuwepo mliona wote waliokuwepo ni watu wenye hadhi ya kimataifa,watu wasiopenda kujisifia,kitu kizuri jamani hujiuza!kibaya hujitembeza!tukija kwenye kiingilio utakubalana name kwamba ulilenga watu waliostaarabika na wasiopenda kubwabwaja ovyo ndo maana hata mtu mzima FA tangia alipochafuliwa jina lake hujaona akijibu kwa namna yoyote ile!Big up BINAMU! ......Team BINAMU hakuna kuwajibu wasiojua maana maana hawaambiwi maana!mjadala umefungwa na mshindi ni MWANA FA! mana ameonyesha ukomavu na BUSARA kwa kutomjibu bibi yetu!