Nani kama mwana fa?hakuna!kitu classsic!

Nani kama mwana fa?hakuna!kitu classsic!

Naomba kuchangia mada.
Tangu jana usiku nimeona picha na nimesoma post mbalimbali ambazo kwa kiasi kikubwa zilikua zinaonyesha kwamba tamasha la Jide lilifana kuliko la MwanaFA. Sababu kubwa za tamasha la jide kufana inaonyesha ni idadi ya watu waliohudhuria na burudani.
Kwa upande wa Binamu, waliohudhuria walikua wachache na show ilipooza! Ni vigezo vipi unavyoangalia kumpa ushindi Binamu??

Hao mashabiki wastaarabu aliwachagua au walienda wenyewe? Kwa uelewa wangu wa muziki, hata uwe na masheikh na mapadri ukumbini, mziki ukiwa mzuri watakupa heshima yako kwa kuimba na wewe, kucheza, kukutuza au kupiga kelele ili mradi kuonyesha wanakuunga mkono.
Kama mashabiki wako watakaa kwenye viti mwanzo mpaka mwisho wa shoo, basi umeshindwa kuwapa kile walichokitegemea kwako, maana yake umefanya vibaya!

Unafkiri ni kweli mashabiki wa Binam walikua wastaarabu au ni kupooza kwa show ndo kuliwafanya wapooze?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Aaaaaaah aaah wamepeta joto hasiraaaa.....
 
mwanafa alikuwa kwenye fungu la kukosa sababu upande wa jide ulikuwa na ma-legends wa game hii yabongo flava.

ha ha ha ha ha acheni kutapatapa eti fungu la kukosa na je bibi mkora anayelalamika kwa kila kitu na shukrani hana kwa waliomtoa?ukweli ndo huo na kwa mtindo wke huo wa kunyea kambi ipo siku atayakumbuka maneno ya wahenga!
 
kuna picha humu ndani ndugu yangu.inaonyesha ukumbi ulikuwa ni chini na juu na kote watu walijaa.iyo picha imeposiwa na member kwenye hii thread.Halafu ndugu yangu ni kwamba ilikuwa burdani ya wastaarabu wavaa suti,sasa vituko na mayowe ulitaka yawe ya nini kwani pale mpirani.lazima ifike mahali tuwe wastaarabu halafu unavyosema haikufana si kweli,acheni wivu na huyo bibi yenu.

Kwani we pale clouds uko kitengo gani?
 
jide kawapiga dole kwenye makalio....kweli jide komando!
 
kuna picha humu ndani ndugu yangu.inaonyesha ukumbi ulikuwa ni chini na juu na kote watu walijaa.iyo picha imeposiwa na member kwenye hii thread.Halafu ndugu yangu ni kwamba ilikuwa burdani ya wastaarabu wavaa suti,sasa vituko na mayowe ulitaka yawe ya nini kwani pale mpirani.lazima ifike mahali tuwe wastaarabu halafu unavyosema haikufana si kweli,acheni wivu na huyo bibi yenu.
Ah ah duh cheki show za jay z ujifunze kitu kijana....nimepoteza kabisa heshima kwa mwanafa ametumika Kama kondom na watu wamemwacha...
 
Robo yao walikuwa waandishi wa habari wa yale magazeti ya udaku
 
Mi pia ni shabiki wa mwanaFA lank nasikitik kusema kuwa kwa alichokifanya kimenivnja moya wa kuwa fan wake kabsa...daaaaah pole sana FA people learn from mistakes,,,take this one as a life lesson
 
acha unafiki wewe, unaweza vp kulinganisha Jide na FA? Angalia Jide ana albam ngapi, utajiri kiasi gani? influence gani kwa jamii (balazi wa fistula). Pia ni mwanamuziki bora wa kike TZ kwa mwaka huu.

Sasa kama Jide ana utajiri wa kutosha, ana ushawishi wa kutosha, na kama yeye ni mwanamuziki bora wa kike mwaka huu, manung'uniko yake dhidi ya Clouds ni yapi hasa?
 
Jide kweli komando, mwanafa nilikuwa namuelewa sana lkn kwa hili siko upande wake kabisaaaaaa.
 
Anaconda anatisha...yan hao apo wanaonyesha wazwaz walivoboreka...
 
Mwana FA akiwa lecture room makumbusho jana usiku akielezea kuhusu rasimu ya katiba.
Haaaaa haaaa. Yaan huwezi amini km ilikuwa burudani. Yawezekana wale watu walikuwa wanasubiri maswali baada ya lecture. Mleta mada nae bora angeacha tu, ushabiki mwingine bwana, roho na nafsi yake vinashindana, roho mbaya inasema hivyo, ila nafsi yake inasema kinyume chake kwa sauti ya chini sana
 
kuna picha humu ndani ndugu yangu.inaonyesha ukumbi ulikuwa ni chini na juu na kote watu walijaa.iyo picha imeposiwa na member kwenye hii thread.Halafu ndugu yangu ni kwamba ilikuwa burdani ya wastaarabu wavaa suti,sasa vituko na mayowe ulitaka yawe ya nini kwani pale mpirani.lazima ifike mahali tuwe wastaarabu halafu unavyosema haikufana si kweli,acheni wivu na huyo bibi yenu.

[h=5]
[/h]

Eti kiingilio elfu 50 ndio cha wastaarabu? Ww kweli hamnazo diamond alifanya show pale mlimani city kiingilio kilikua sh ngapi vile na watu walijaa pomoni nn hamsini watu laki na wanajaa sembuse 50? Fatuma kavhemka
 
Back
Top Bottom