Nani kamvuruga Mo Dewji mpaka kuweka hii post jamani?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Kuna kitu gani kinaendelea huko kati ya Simba na Yanga kiasi cha kumuinua Mo Dewji na kuandika alichoandika?

===

Simba na Yanga ni utani sio uadui, mbona mimi nawasaidizi wakaribu ambao wanashabikia Yanga siwa bagui? Acheni kutukanana. Mbona siwa bagui wanafunzi ambao ninawasomesha? Je nawauliza wewe ni Simba au Yanga? MoXtra

Screenshot 2023-07-31 082642.png
 
Mwamedi ana mipasho mzaramo anasubiri aisee.
 
Dah! Tajiri kubwa, ila makosa ya kiuandishi kibao. Pesa haina kuchagua, wenye roho mbaya, wenye akili, wasiokuwa na akili, wenye roho nzuri, wema, wenye mipango, wasio na mipango, ikiamua kuja na kukaa inakaa mpaka vitukuu wanaitumia.
 
  • Kicheko
Reactions: K11

Mbona kajitahidi hapo, kuna Muhindi anayejuwa kiswahili?
 
Dah! Tajiri kubwa, ila makosa ya kiuandishi kibao. Pesa haina kuchagua, wenye roho mbaya, wenye akili, wasiokuwa na akili, wenye roho nzuri, wema, wenye mipango, wasio na mipango, ikiamua kuja na kukaa inakaa mpaka vitukuu wanaitumia.
Pesa hufukia milima.
 
Alitaka tujue kuna wanafunzi anawasomesha kwa kujitolea[emoji1787][emoji1787]
 
Mbona alimfuta kazi Manara baada ya kugungua anapeleka siri za kambi na kushinda GSM [emoji23]
 
Back
Top Bottom