Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Alikuwa anatangaza tu biashara yake ya MoXtra. Amefanikisha hiloKuna kitu gani kinaendelea huko kati ya Simba na Yanga kiasi cha kumuinua MO DEWJI na kuandika alichoandika?
Mwamedi ana mipasho mzaramo anasubiri aisee.Kuna kitu gani kinaendelea huko kati ya Simba na Yanga kiasi cha kumuinua Mo Dewji na kuandika alichoandika?
===
Simba na Yanga ni utani sio uadui, mbona mimi nawasaidizi wakaribu ambao wanashabikia Yanga siwa bagui? Acheni kutukanana. Mbona siwa bagui wanafunzi ambao ninawasomesha? Je nawauliza wewe ni Simba au Yanga? MoXtra
Nasema Uongo Ndugu ZanguManara ndio ametufikisha hapa, halafu cha kushangaa kuna watu wanamsapoti.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana.
Mbona kajitahidi hapo, kuna Muhindi anayejuwa kiswahili?Dah! Tajiri kubwa, ila makosa ya kiuandishi kibao. Pesa haina kuchagua, wenye roho mbaya, wenye akili, wasiokuwa na akili, wenye roho nzuri, wema, wenye mipango, wasio na mipango, ikiamua kuja na kukaa inakaa mpaka vitukuu wanaitumia.
Pesa hufukia milima.Dah! Tajiri kubwa, ila makosa ya kiuandishi kibao. Pesa haina kuchagua, wenye roho mbaya, wenye akili, wasiokuwa na akili, wenye roho nzuri, wema, wenye mipango, wasio na mipango, ikiamua kuja na kukaa inakaa mpaka vitukuu wanaitumia.
Manara ni sumu kwenye mpira wa bongoManara ndio ametufikisha hapa, halafu cha kushangaa kuna watu wanamsapoti.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana.