bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Hakika soka letu kivyetu vyetu leo nimeshuhudia kioja cha mwaka kama sikosei ni Semfuko mchezaji wa Coastali kapewa njano mbili bila kupewa nyekundu, Kwa kifupi huyu refa wa leo alikua na maelekezo kutoka juu either ngoma ikwishe droo au Yanga apoteze.
Tumeshuhudia Refa akikosa utulivu kabisa akipuliza filimbi hata kwa matukio madogo tu hasa yale ya Yanga kipindi cha kwanza Kostali walikua wamekamia gemu wakicheza undava mnoo uzuri nao Yanga wana watu wa Undava mwite Dr Aucho huyu mtata sana anakutibu unavyokuja.
kituko cha mwaka kiliibuka pale kadi ya Njano ya Semfuko ilipofutwa kimiujiza na kupewa kadi nyingine ya njano bila kupewa red na taarifa zikaja njano ya kwanza imefutwa [emoji1][emoji1][emoji1]hawa waamuzi wa kibongo hakika bado sana au basi ni kujizima data tu.
Tunajua Kostali ni Simba B na sio ajabu waliwaambia wanasimba nyie tulieni tutawalipia kisasi chenu cha goli 5(Mkono) ndio maana walianza kwa kucheza pira vurugu.
Roma ikisema imesema