dionece Member Joined Oct 1, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Oct 7, 2012 #1 amani mbona kila ninapofungua account ya helsb ilikua apeal ina nambia the index number does not exist kuna yeyote mwenye tatizo kama hili na ufumbuzi wake jamani
amani mbona kila ninapofungua account ya helsb ilikua apeal ina nambia the index number does not exist kuna yeyote mwenye tatizo kama hili na ufumbuzi wake jamani
E enoc Member Joined Aug 11, 2012 Posts 86 Reaction score 5 Oct 7, 2012 #2 Hyo n system ndo inazngua endelea kujarbu itatk mkuu
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Oct 7, 2012 #3 Hawa jamaa wananizingua kupita maelezo. Mimi kesho napandisha ofisini kwao wakanipe maelezo ya kina.