nani kapata matatizo kama haya kwenye ku apeal heslb

nani kapata matatizo kama haya kwenye ku apeal heslb

dionece

Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
5
Reaction score
0
amani mbona kila ninapofungua account ya helsb ilikua apeal ina nambia the index number does not exist kuna yeyote mwenye tatizo kama hili na ufumbuzi wake jamani
 
Hyo n system ndo inazngua endelea kujarbu itatk mkuu
 
Hawa jamaa wananizingua kupita maelezo. Mimi kesho napandisha ofisini kwao wakanipe maelezo ya kina.
 
Back
Top Bottom