Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hili ni Swali ambalo naliekeza kwa Mamlaka za soka za Tanzania ikiwa ni pamoja na TFF.
Inawezekanaje mambo haya yakafanyika na AZAM TV wakarusha hewani Dunia nzima?
Angalau tuliwahi kuona picha za viongozi zikipeperushwa, japo si sawa, lakini sasa baada ya Yanga kushinda bao la 3 zimeibuliwa Bendera zenye picha ya Rais Samia na zingine zina picha ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Ninaamini hili jambo limepangwa na walio kwenye picha hizo, maana haiwezekani Mtu yeyote binafsi kutumia picha ya Kiongozi kwa matakwa binafsi, ndio maana hata waliochoma picha za kuchorwa tu wametekwa na kupotezwa.
Bali tunachojiuliza ni hiki, Malengo ya Jambo hilo ni yapi, Kwamba hao waliomo kwenye hiyo picha ndio wamiliki halali wa Nchi yetu na sisi wengine tunaishi kwa hisani yao tu? na Je ni kweli kwamba hao ndio wanaoimiliki hii Nchi na sisi wengine ni vijakazi wao tu?
Naomba kuwasilisha.