Nani Kasema KISWAHILI ni Rahisi?

Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Posts
2,806
Reaction score
3,485
Hivi ni nani anadai kuwa kiswahili ni RAHISI?
Kiswahili ni moja ya lugha ngumu zaidi ninayoifahamu.

Kama unabisha na hutaki kukubaliana na Bazazi;
Hebu jaza sehemu zilizoachwa wazi kwa kutumia;
NDIYO au HAPANA.



  1. [*=1] ............ mimi ni chizi.
    [*=1]............. sina akili.
    [*=1]............. mimi bweg3

Najiandaa kucheka kutokana na ubishi ulionao.​

Je! Sasa unakubaliana na Bazazi kuwa Kiswahili ni KIGUMU?


Bazazi!
 
Wangapi wamekujibu...ili tucheke pamoja?
 
Hivi ni nani anadai kuwa kiswahili ni RAHISI?
Kiswahili ni moja ya lugha ngumu zaidi ninayoifahamu.
Je! Sasa unakubaliana na Bazazi kuwa Kiswahili ni KIGUMU?

Bazazi!​


Bazazi wacha ubasasi.

Kiswahiri ni lahisi sana.

Kuna mswahiri zinatumia hii luga kuandika liwaya na tamthiria.

Kama hii luga unaifahamu kama ulivyodai hapo penye langi nyekundu, basi ni wazi kuwa huifahamu.

Mkijiji angekwambia, "kicha kama rimao". Acha ubasasi, bana.

Luga ipi unayoifahamu katika dunia hii ambayo sio ngumu? Kichina?, kihindi? au kixosa?

 

inategemea na statement jinsi inayoongelewa, ukisema hapana/ndio italeta maana baada ya kujibu swali uliloulizwa, upo?
 

hapo kwenye bold blue umeandika madudu gani?
 
Nilidhani Kiswahili ni Lugha rahisi.
Nimegundua Kiswahili ni Kigumu baada ya kusoma poster za Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Hama lugha ambayo ni ngumu wala rahisi. Lugha zote za binadamu ni sawa, huwezi ukapima ugumu au urahisi wa lugha kwa kutumia sentesi tatu.
 

unafahamu lugha ngapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…