Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,485
Hivi ni nani anadai kuwa kiswahili ni RAHISI?
Najiandaa kucheka kutokana na ubishi ulionao.
Je! Sasa unakubaliana na Bazazi kuwa Kiswahili ni KIGUMU?
Bazazi!
Kiswahili ni moja ya lugha ngumu zaidi ninayoifahamu.
Kama unabisha na hutaki kukubaliana na Bazazi;
Hebu jaza sehemu zilizoachwa wazi kwa kutumia;
NDIYO au HAPANA.
Kama unabisha na hutaki kukubaliana na Bazazi;
Hebu jaza sehemu zilizoachwa wazi kwa kutumia;
NDIYO au HAPANA.
[*=1] ............ mimi ni chizi.
[*=1]............. sina akili.
[*=1]............. mimi bweg3
Najiandaa kucheka kutokana na ubishi ulionao.
Je! Sasa unakubaliana na Bazazi kuwa Kiswahili ni KIGUMU?
Bazazi!