Nani kasema mpaka uwe na DStv kuangalia EPL nyumbani kwako

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,018
Reaction score
1,151
Live stream na zantel bundle siku live hd bila chenga
 

Attachments

  • 1439743055260.jpg
    30.4 KB · Views: 885
  • 1439743068655.jpg
    29.3 KB · Views: 797
  • 1439743090443.jpg
    16.2 KB · Views: 768
tupe maelezo sasa... maana mi toks ligi ianze sijaona mechi hata moja...
 
Watu wengine bhana,

Sasa umeleta Ugali bila Mboga tutakulaje mkuu?

BACK TANGANYIKA
 
Mkuu Livestream ni nzuri lakini kuna wakati zinasumbua sana. Hasa zinapokuwa banned. Zinachosha sana. Halafu internet haziko reliable. Zantel ndio usiseme. Zantel ikiwa sehemu nzuri, hutojuta, lakini sehemu nyingi yasumbua.
 
Tupe link unayotumia kufanya streaming live

Mimi huwa napenda ku search livestream kupitia Ronaldo7.net. Pia waweza search kwa style kama hii: mfano leo wamecheza Man city na Chelsea, uta search kutumia browser - Man city Chelsea Livestream Ronaldo7. Utapata link ya ronaldo7.net ambayo itakuwa na page yenye links tofauti tofauti zinazorusha livestream ya mechi tajwa. Ukiwa unatumia computer mara nyingi huwa source ya malware na viruses kibao. Hivyo unakuwa vulnerable.
 

Mmmhhh
 
Mm nme download Sybla TV...naangalia mechi nyingi za ligi ya Ulaya,BBC,CNN na Aljazeela.. English service
 
bila shaka leo ndio umeangallia epl kwa mara ya kwanza ukiwa nyumbani ndio ukaona ushirikishe wana jf mihemko yako bila kuwaambia hiyo streamin umeipataje!

Nina miaka 5 nalipiaga dstv mwaka mzima, nimeacha kulipia mwaka huu baada ya kuona ufisadi umeongezeka at the expense ya maisha na familia yangu laki 2 kuona mpira tu! Bora hiyo niongezee soseji wanangu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…